Download Speed: Shkamoo Halotel

Tigo tuna 4G sasa hivi wanaotumia devices zinazosupport hii 4G wanaelewa ninachomaanisha
Tigo mnaboa. Mm natumia tigo line ya 4G lakini muda mwingi no service. Hata hivi sasa hakuna mtandao
 
Tigo tuna 4G sasa hivi wanaotumia devices zinazosupport hii 4G wanaelewa ninachomaanisha
hii 4G yenyewe inakata kata balaaa na si sehemu zote ipo yaani inshort tigo ni kama makanjanja japo na mimi ni mteja wao
 
Ila ipo mitandao inayoipita speed ya airtel na kwenye suala la net bila speed ya uhakika ni kazi bure,sisi sote tulishatumia hiyo mitandao ndo maana tunaona nafuu zaidi ipo wapi joo
 
Ila ipo mitandao inayoipita speed ya airtel na kwenye suala la net bila speed ya uhakika ni kazi bure,sisi sote tulishatumia hiyo mitandao ndo maana tunaona nafuu zaidi ipo wapi joo
then kama speed ndio deciding factor basi wote tuhamie simbanet au smile au mitandao mengine ya 4g.

combination ya speed, unafuu wa bei, na ukubwa wa vifurushi ndio unatakiwa uangalie.

eneo nilipo airtel napata around 600KBps na halotel napata around 1MBps hivyo halotel ina speed zaidi na mitandao yote miwili nina acess ya vifurushi vya chuo.

kwa shilingi 1500 napata 1GB za net halotel

kwa 1800 airtel napata 3.6GB za airtel

so nambie wewe ungechagua ipi hapo?

mimi natumia halotel pale ninapokuwa nahitaji latency kama nikiangalia mpira au kustream matamasha ya simu ambayo ni live sababu latency yao ni nzuri. ila kudownload ni too expensive

na ukija vifurushi vya uziku kwa airtel ni 600 tu wakati halotel ni 1500. ukijiunga mara 2 halotel unajiunga mara 5 airtel na difference ya speed haijustify hio gharama.
 
Kwa nilipo Mimi Halotel wamenikomboa sana na nimehamia moja kwa moja. airtel,voda,tigo. Hamna kitu. Kwasasa Nina stream mechi yoyote ninayotaka-youtube kama nacheki video ni full burudani mda wote ====Halotel wenyooshaaaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Chief unajiungajeee na 3.6 GB???
 
Tigo tuna 4G sasa hivi wanaotumia devices zinazosupport hii 4G wanaelewa ninachomaanisha
Nini 4g hata mngekuwa 8g++ kwa halotel ni habari nyingine na mtandao wenu wa kariakoo huko
 
Configurations zao ni zipi hawa Jamaa maana nikiweka line kwenye simu yangu haisomi upande wa Internet

Chief ukizungumzia airtel kwangu hatasiku moja sitokaa nikuelewe labda nihame nilipo maana hapa nilipo airtel inaandika H+ lkn hata kusogea 1kb haisogei.
Kwangu Halotel ni mkombozi kupata 3g eneo ambalo sikufikiria kama ingekuja hii huduma kwa mitandao kongwe.
 
mkuu kila mtandao kuna maeneo yake haupatikani, na Tanzania yetu kama hauna line zote huwezi kufaidi internet, kama eneo lako halotel wanakidhi mahitaji then tumia hio ila hapa naongelea experience yangu tu.
 
Huu ni upuuzi huu...4G ya nini wakati kuna sehem hawashiki kabisa????
By the way 4G ya tigo ni sawa na 3g ya halotel.
si kweli nimetumia mitandao yote miwili na 4g ya tigo ina speed zaidi, una simu ya 4g? umetumia wapi hio 4g ya tigo?

3g kuwa slow inamaana watu wengi wanatumia 3g na uwezo wa miundombinu ni mdogo, mtandao unapoanzisha 4g inamaana watu baadhi wataondoka 3g kwenda 4g hivyo hii itawasaidia wote watumiaji wa 3g na 4g sababu wakipungua watu wa 3g speed itaongezeka ya wa 4g pia watapata speed nzuri
 
hata nilipwe kutumia tigo, NEVER.
 
hata nilipwe kutumia tigo, NEVER.
nina note 4 na inasupport 3G nilipita pale mliman nikaambiwa mlolongo mrefu nikasema ngoja nijaribu line ya beste angu kwanza, ilikua ni ugoro mtupu nikaondoka.
Bora voda wezi wa MB ila inaeleweeka kidogo
 
nina note 4 na inasupport 3G nilipita pale mliman nikaambiwa mlolongo mrefu nikasema ngoja nijaribu line ya beste angu kwanza, ilikua ni ugoro mtupu nikaondoka.
Bora voda wezi wa MB ila inaeleweeka kidogo
ugoro ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…