Download Speed: Shkamoo Halotel

halotel
inaniwezesha kustream epl, la liga online.
ni sheeeda
 
Huu mtandao ni hatari kwa kweli ,yaani hadi vijijini unaandika 3G
 

Night offer ya halotel ni bei gani mkuu? Vipi kuhusu menu yake?
 

mimi kwangu ni vice versa namaliza bundle ya tigo peke yake usiku nikiwa na 4g au 3g. ila halotel speed usiku inakuwa ovyo na ukiwa na line ya chuo ndio kabisa mwisho ni 300KB/s
 
mimi kwangu ni vice versa namaliza bundle ya tigo peke yake usiku nikiwa na 4g au 3g. ila halotel speed usiku inakuwa ovyo na ukiwa na line ya chuo ndio kabisa mwisho ni 300KB/s
Kuhusu usiku speed ya Halotel kuwa ndogo, hata hapa kwangu ni hivyo hivyo. Hata hivyo nasema ndogo nikilinganisha na mchana. Mchana speed yake inakuwa kufuru ukilinganisha na usiku lakini hata hiyo speed ndogo ya usiku, inaniwezesha kumaliza zile 18GB.
 
Ngoja Watu wajae tutarudi wemyewe tu kwemye Mitandao Kongeee..
Unajua swala la kujaa sio kesi..issue ni coverage tu mkuu, jamaa coverage nzuri sana..Mbona hata tigo kuna maeneo ni poa ila shida ndo coverage yao sasa.
Halotel wna coverage kubwa sana ukiachilia speed ..hakuna maana mtandao kua na speed ila coverage mbovu.
 
Hadi muda huu kwa maeneo nnayo kwepo mara nyingi mabibo airtell inaonekana kuwa mtandao wenye speed kwangu ukifuatiwa na halotel Tigo kwa hapa full majanga hadi line nimeacha kuitumia kwenye internet.
Airtell nimetumia kifurushi cha internet night offer mara 3 .
Day 1 nlitumia 8.2Gb
Day 2 nlitumia 8.3Gb
Day 3 nlitumia 10Gb

Average internet speed.
Airtel= 900kb/s
Halotel 700kb/s
Tigo 150kb/s
 
Tigo hata wakiwa na 6G hakuna kitu
Kibaya zaidi hizo 4g ziko kwenye vi miji vyao..wakati halotel wanagonga kotekote kuanzia mtambaswala mpaka holili,kigamboni mpaka nanyamba...internet hata isome "E" GPRS..spidi ni hatareeee!
Tigo leteni hata 9g mkitaka!
change..we believe in!
 
Hebu nipeni configurations za hawa jamaa nimejiunga na bando la airtel la wiki linajinyeanyea tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…