Upo sahihi mkuu. Mm nilihamia halotel kwa zile sifa zake tu. Lakini ukweli nimeujua baada ya kuwa na line yao. Tigo 4G wanakimbiza sana sena tatizo la no service kila wakati ndo ilikua kikwazo kwenye simu yanguNilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
Mm natumia line ya halotel chuo lakin kusema ukweli hawamfikii tigo 4G japo tatizo lao ni no service muda mwingiKweli mkuu bora kujaribu apa nawaza nikafuate line zao za chuo labda kunaweza kuwa kupo vizir
Uwa kuna ka mchezo kaku limit speed ya internet kwenye baadhi ya vifurushi, karibu makampuni yote ya mitandao uwa yanafanya ivo na uwa haiwekwi wazi, kwa mfano ukiingia kwenye website ya halotel pale sehem ya bundles utakutana na kalugha fulani kakuonyesha speed ya internet haiko sawa kwa kila kifurushi. Io ipo toka kitambo sana kwa voda, tigo, ttcl ndo usiseme, airtel ndo inaka uhafadhali kidogo.
Mm natumia line ya halotel chuo lakin kusema ukweli hawamfikii tigo 4G japo tatizo lao ni no service muda mwingi
Au ndio zile simu wameanza kuzifungia?cheki vizuri Mkuu Halotel wako vizuri.Labda simu yako ina tatizo...
Au ndio zile simu wameanza kuzifungia?cheki vizuri Mkuu Halotel wako vizuri.
Pole, Halotel ndiyo mpango wa mujini ndugu. Kila kitu naangalia live! Mpira, Mahubiri ya akina Joel Osteen, Joyce, gateway church etc live kabisa bila chenga. Nilikuwa na voda ni zaidi ya kobe, tigo ndiyo majanga. Yaani hakuna mtandao ulio mzuri kwa internet kwa tz kwa sasa kama Halotel. Live long HalotelNilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
mkuu hii mitandao ni matapeli wakubwa. hata vodacom nao wameanza wizi kama huu. ukinunua bundle kubwa wanaipunguza spidi kwa makusudi ili muda wako uishe kabla hujaitumia. na ukinunua cha bei ya chini ni vivo hivyo. huu ni mwezi sasa tangu voda wapunguze spidi kwenye vifurushi vyao vyote...spidi ni kama ya konokono. nilikuwa nataka kukumbilia halotel lakini kama nao wamepunguza spidi labda nikimbilie tiGO.Nilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
Pole, Halotel ndiyo mpango wa mujini ndugu. Kila kitu naangalia live! Mpira, Mahubiri ya akina Joel Osteen, Joyce, gateway church etc live kabisa bila chenga. Nilikuwa na voda ni zaidi ya kobe, tigo ndiyo majanga. Yaani hakuna mtandao ulio mzuri kwa internet kwa tz kwa sasa kama Halotel. Live long Halotel
mkuu hii mitandao ni matapeli wakubwa. hata vodacom nao wameanza wizi kama huu. ukinunua bundle kubwa wanaipunguza spidi kwa makusudi ili muda wako uishe kabla hujaitumia. na ukinunua cha bei ya chini ni vivo hivyo. huu ni mwezi sasa tangu voda wapunguze spidi kwenye vifurushi vyao vyote...spidi ni kama ya konokono. nilikuwa nataka kukumbilia halotel lakini kama nao wamepunguza spidi labda nikimbilie tiGO.
sio simu mkuu, hii mitandao ni MAJIZI sana. ni mwezi mmoja sasa tangu voda wapunguze spidi kwa MAKUSUDI.Simu yako itafungwa MWezi wa 6
mkuu unasemaje? naomba unitumie hii link ya mpira mkuu.Pole, Halotel ndiyo mpango wa mujini ndugu. Kila kitu naangalia live! Mpira, Mahubiri ya akina Joel Osteen, Joyce, gateway church etc live kabisa bila chenga. Nilikuwa na voda ni zaidi ya kobe, tigo ndiyo majanga. Yaani hakuna mtandao ulio mzuri kwa internet kwa tz kwa sasa kama Halotel. Live long Halotel
Kama hata halotel inapondwa kwa spid yake hii ya internet, basi watanzania sisi tumelaaniwa
na aliye walaani kafa
hayo maujanja ya kuangalia mpira live yakoje wadauHuku ni mwendo wa kobe nlishindwa hata kuangalia mech ya liver na manyambizi
Laini za chuo zinaspeed ndogoKweli mkuu bora kujaribu apa nawaza nikafuate line zao za chuo labda kunaweza kuwa kupo vizir
hayo maujanja ya kuangalia mpira live yakoje wadau