Download Speed: Shkamoo Halotel

Setting hahaha pole mkuu
KWANINI NIFANYE SETTING NAJUA LAKINI SIJISUMBUI TENA.. NA KUNA KILAZA NIMEMPIGIA HUKO HALOTEL AKANIPA BLABLA ZA SETTING WOYY HAKUNA KITU SO NAENDELEA NA WENGINE ,PAKA WAO WAZIBADILI LINE ZAO SIWE KM TIGO VODA ZANTEL NA NYINGINE UKIWEKA TUU MAMBO YANAKWENDA SAWA
 
Duh nimecheka sana aisee
 
Ngojeni mitandao mingine ingie kwenye io 4g ndo mshindanishe na iyo Tigo ndo mtapata jibu sio 3g vs 4g
mpaka hapo watakapotoa then tutalinganisha. competition ni muhimu wengine wakitoa gharama pia zitashuka.
 
Yani tigo ni katikati ya jiji la Dar, Tanga, Mwanza, Arusha lakini ukianzia kibaha hakuna lolote ni mwendo wa kobe tu
 
Yani tigo ni katikati ya jiji la Dar, Tanga, Mwanza, Arusha lakini ukianzia kibaha hakuna lolote ni mwendo wa kobe tu
SWALA LANGU NI KWANINI KUNA MAMBO YA SETTING YAANI UKITOA LINE UKIRUDISHA UNAAMBIWA UFANYE SETTING OTHERWISE,, UNALIWA KAMA MIE WALINILA JUZI 500 YANFU MBORA NINGEWAPA WASIOJIWEZA HUKO NJIANI
 
UNACHEKA WAKATI NINA HASIRA NA JERO LANGU HEBU NIFUNZE HIZO SETTING ZAO BASI
Achana nao tu endelea na tigo mkuu maana hawa jamaa naona hata promo sijui. Maneno mengi hawana siku ukiwaelewa utarudi tu hawana khiyana hawa
 
Achana nao tu endelea na tigo mkuu maana hawa jamaa naona hata promo sijui. Maneno mengi hawana siku ukiwaelewa utarudi tu hawana khiyana hawa
WEWE WACHA MAMBO YA UCHOYO NIFUNZE SETTING ALAAAAAAAA
 
ina maana Tigo hawana VO-LTE
 
ina maana Tigo hawana VO-LTE
Naona Smile tu ndio wana Volte hapa Tanzania maana nilijipigia ikakataa kuconnect.. Hata kuchagua menu ile ya *148*01# haitaki mpaka uchague LTE/GSM (auto)
 
Yani kama nikikosa halotel ni lazima nitumie voda au airtel ila nikikosa kabisa ni zantel lakini tigo sitaki hata kuisikia
 
Naona Smile tu ndio wana Volte hapa Tanzania maana nilijipigia ikakataa kuconnect.. Hata kuchagua menu ile ya *148*01# haitaki mpaka uchague LTE/GSM (auto)
ndio maana wanapigwa bao huko maofisini, ofisi nyingi sasa hivi wamehamia smile.
 
Speed yake ni lazima iwe juu kwakua idadi ya watumiaji wake bado ni ndogo......hivyo kama watumiaji wataongezeka kiasi chake ni dhahiri mtandao utazidiwa nguvu na watumiaji.

Kama ni kushusha ma-series na movies muda ndo huu....wadau wengine wakiongezeka tu basi.
 
Kwani ktk takwimu za serikali ni mtandao gani una wateja wengi kuliko mitandao mingine yote
 
yah line wanabadilisha namba inakuwa ile ile.

ingia kwenye contact halafu nenda setting zake hapo hapo ndani ya contact halafu export contact zako kwenye sd card incase zikipotea contact zako uwe na backup
Asante sana mkuu hapo nimekuelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…