Download Speed: Shkamoo Halotel

10GB ya airtel usiku unaunga vipi? Na bei gani?
 
Hata iweje halotel haina mpinzani kwa speed
Ahh... Jiunge kile kifurushi cha lisaa cha Tigo, alafu weka lte only then weka movie zako au series then download. Huto kaa ongea kwamba halotel ni fastest..

Mimi natumia tu halotel kwa sababu wana vifurushi vizuri na wananiruhusu ku piga kwa kutumia whatsapp calling ambayo tigo hawa kubali hadi ununue kifurushi
 
Nadhani hapo umeshakubali kuwa halotel ni mwisho wa matatizo asante sana mkuu
 
Unajiunga vipi hicho kifurush cha lisaa? Na bei gani? Na unapewa GB ngap?
 
Nadhani hapo umeshakubali kuwa halotel ni mwisho wa matatizo asante sana mkuu
Ndio, overall ndio mtandao bora lakini kwenye speed kama post yako ya Mwanzo ilivyo insist Halotel kwa Tigo anasubiri Sanaaaa
 
Unajiunga vipi hicho kifurush cha lisaa? Na bei gani? Na unapewa GB ngap?
*148*00# kipo kwenye Special Offers.. One hour pack kwa 200 tshs unlimited then kuna vingine 100tshs wanakupa 200mb
 
Ngojeni mitandao mingine ingie kwenye io 4g ndo mshindanishe na iyo Tigo ndo mtapata jibu sio 3g vs 4g
 
Ngojeni mitandao mingine ingie kwenye io 4g ndo mshindanishe na iyo Tigo ndo mtapata jibu sio 3g vs 4g
Ulichosema ni kweli...

Yani siku Airtel ikiingia kwenye ulingo wa 4g laini ya Tigo inauwezekano mkubwa wakuichoma moto
 
sasa hiyo 200mb baada ya lisaa siitakua imekwisha kiongozi alafu umesema weka ite only sijakupata aise ebu dadavua vizuri hapo kwenye ite only
 
Sasa Mkuu Halotel sijawahi vuka 16Mbps wakati Tigo navuka hadi 30Mbps... Wote hapa a niambie kama kwa halotel kashawahi fika speed hiyo ndio nitakubali kuwa halotel ndio fastest.
 
sasa hiyo 200mb baada ya lisaa siitakua imekwisha kiongozi alafu umesema weka ite only sijakupata aise ebu dadavua vizuri hapo kwenye ite only
Kuna kifurushi cha Unlimited kwa lisaa lizima kwa 200 tshs tu.. Kwenye LTE only ni kwamba ukiwa unatumia Tigo lte au 4g kuna mda inakuwa unstable sasa ili uipate muda wote kwenye Android menu ya *#*#4636#*#* unailazimisha ikae 4g muda (sema kwa hii hata mtu akikupigia simu hato kupata) ili upate full speed ya tigo 4g..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…