The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Baada ya kuona mabandiko mengi humu ya kuisifu hii Halotel jana nikaamua kuijaribu nikajiunga na kifurushi cha usiku yaani ni majanga nimeshindwa hataa kuplay video kwenye youtube. Mpaka asubuhi nimeweza kudownload video 2 tu toka dramacool. Yaelekea wengi humu ni wapiga debe. Bora nibakie nlipo
force Ikae lte only. Maana hapo tatizo ni simu/coverage ya mtandao n.a. sio 4g.4g ya tigo ni majanga maana mara nyingi inasoma E au H ikijitahidi sana inasoma 3g.. Kupata Lte ni mara chache sana. Au usipate kabisa. Mimi nipo temeke Dar.. Tigo hakuna lolote.. Maneno mengi vitendo 0.
Hiyo speed inaflactuate mkuuspeed ni 2.93MBps
time remaining ni dakika 7 na sekunde 53
1. convert dakika kwenda sekunde
tutapata sekunde 473
2. tuzidishe sekunde na speed kwa sekunde
473x2.93 hii itakuwa sawa na mb 1385
so hapo inaonesha
hapo wewe umebakiza mb 810 tu lakini speed inaonesha ingedownload kama 1.3gb kwa huo muda.
conclusion umeivizia hio speed ilivyokuwa kubwa ndo ukapiga picha.
speed halisi ya hio screenshot
zimebaki mb 810
zitachukua dakika 7 na sekunde 53
810Mb gawanya 473 sekunde = 1.7Mbps
so speed yako ni hio hapo 1.7 na sio 2.9
hio ya usiku ni watu wengi wamelalamika hawapati speed.Hiyo speed inaflactuate mkuu
Hyo 2.9 imetokea tu ndio mana nmesema speed imeshuka napata mpaka 3.5 usiku alaf pia still it worth hata kama ingekua 1MBs still naeweza shusha chochote
Kuvizia basi ningevizia ikifka had nne huko per sec
Alaf pia point hapa ni kuonesha kwamba sio debe tunapigia halotel kama jamaa alivyosema hapo juu na hii ilikua ni ushahidi wa kupinga sentence yake ya debe..
Kama naweza kushusha sniper elite 3 ya gb 15 kwa masaa mawili tu hilo ni debe?
laino sita kaka i adhihirisha jinsi gani unawakubali halotel na kuhitaji hiduma zao sana.hio ya usiku ni watu wengi wamelalamika hawapati speed.
mimi mchana napata 12mbps average (1.5MBps) ila usiku kama kawaida panga linapita speed inacheza around 2.4mbps (300KBps) now nina line kama 6 za halotel zote ni hivyo hivyo.
mwambie huyo jamaa atest mchana halafu alete feedback.
wanaopata speed kubwa usiku ni baadhi tu ya watu.
Hivi unaungaje mkuu kwa kutumia WiFi ukiwa na simu na unataka kutazama kwenye PCItakuwa unatumia mchina wewe, mimi nadowload huku natazama mechi 2 au 3 kwa wakati mmoja kwa liverstream na hakuna kukwama wala nini, tena bila moderm natumia simu kuunga kwa wifi,
Fungua hotspot kwenye simu yako, washa laptop yako nenda kwenye wifi utaiona aina ya device yako hapo, itaomba password rudi kwenye simu yako fungua hotspot setting click kwenye show password utaziona paswd zako ingiza kwenye laptop and then connect, kitu mwake mwakeHivi unaungaje mkuu kwa kutumia WiFi ukiwa na simu na unataka kutazama kwenye PC
Kwa mchana kifurushi kipi kipo fresh,nina kile cha bila kikomo cha elfu 25 kwa mwezi,nilijidai cku 4 tu,baada hapo ni majanga matupu!hio ya usiku ni watu wengi wamelalamika hawapati speed.
mimi mchana napata 12mbps average (1.5MBps) ila usiku kama kawaida panga linapita speed inacheza around 2.4mbps (300KBps) now nina line kama 6 za halotel zote ni hivyo hivyo.
mwambie huyo jamaa atest mchana halafu alete feedback.
wanaopata speed kubwa usiku ni baadhi tu ya watu.
Piga *#*#4636#*#* afu weka 4g only4g ya tigo ni majanga maana mara nyingi inasoma E au H ikijitahidi sana inasoma 3g.. Kupata Lte ni mara chache sana. Au usipate kabisa. Mimi nipo temeke Dar.. Tigo hakuna lolote.. Maneno mengi vitendo 0.
Mimi nilikuwa natumia 3g kwa line ya halotel ila sasa nimeweka laini tigo 4G natamani nitupe hii halotelnimetumia 4G ya tigo haina speed kama Halotel
tupa tu mkuu but halotel ataendelea kuwa mkombozi kwa upande wa speed.Mimi nilikuwa natumia 3g kwa line ya halotel ila sasa nimeweka laini tigo 4G natamani nitupe hii halotel
Ni mkombozi kwa mikoa ambayo haina 4Gtupa tu mkuu but halotel ataendelea kuwa mkombozi kwa upande wa speed.
ambayo ndio ming.... ukilinganisha na inayo nufaika na 4G na ambayo feedback bado sio nzuri kutoka kwa wateja hasa upande wa coverage.Ni mkombozi kwa mikoa ambayo haina 4G
Nimevunja lain ya tigo 4g kigamboni ovyo kabisaNi mkombozi kwa mikoa ambayo haina 4G
Mimi nipo Kilimanjaro nina enjoy tu kwa hiyo speedNimevunja lain ya tigo 4g kigamboni ovyo kabisa
Yaap coverage kwako nzur mkuuMimi nipo Kilimanjaro nina enjoy tu kwa hiyo speed