Download kitabu cha James Hadley Chase hapa

Weka na vingine

waswahili tuna shida sanaaa... mtu katuma kwa moyo sasa unamuambia "weka vingine" kama vile ulimuwekea au unamlipia bundle.unajisikiaje ukatumia lugha nadhifu kama " asante kwa kitabu kizuri, tafadhali kama unaweza naomba vingine".umeona hiyo ndugu yangu?hapo mtu anapata msukumo kukusaidia.
asante
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Hivi adobe reader ya phone inalipwa vipi ili kuinstall?.mwenye kujua.
 
Ndugu, hakuna unaemlipa akujibu kwa hiyo tumia lugha nzuri kwa mtu kama unahitaji msaada. ungeuliza hivi "salaam, tafadhali wanajf, naomba kusaidiwa kwa mwenye kujua jinsi ya kuinstall adobe reader ya phone, asanteni." sasa uone watu ambavyo wangejitikeza kukujibu.
nawasilisha tu katika kuelekezana
 
Kifimbo cheza wa jf lazima watu wanyooke.
 
The night of the generals
The guilt are afraid
The world is my pocket
I would rather stay poor
Just matter of time...

Plzz mkuu, send me those ones. I'll be very thankful.

Lkn usicompile kwenye file1
 
Check out my newest post!
 
Ndugu, hakuna unaemlipa akujibu kwa hiyo tumia lugha nzuri kwa mtu kama unahitaji msaada. ungeuliza hivi "salaam, tafadhali wanajf, naomba kusaidiwa kwa mwenye kujua jinsi ya kuinstall adobe reader ya phone, asanteni." sasa uone watu ambavyo wangejitikeza kukujibu.
nawasilisha tu katika kuelekezana
Ooh,nilikuwa na uharaka fulani,haya ,''tafadhari sana niko chini ya miguu yako,naomba kama unajua namna ya kuinstall adobe reader unisaidie,ubarikiwe sana'.
 
Ndugu, hakuna unaemlipa akujibu kwa hiyo tumia lugha nzuri kwa mtu kama unahitaji msaada. ungeuliza hivi "salaam, tafadhali wanajf, naomba kusaidiwa kwa mwenye kujua jinsi ya kuinstall adobe reader ya phone, asanteni." sasa uone watu ambavyo wangejitikeza kukujibu.
nawasilisha tu katika kuelekezana

Heshima kwako mkuu bomouwa!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunielewa na nauhakika utafika mbali sana kama uko hivi yaani upo tayari kupokea marekebisho.Hongera sana

Nashukuru.
Huwa nakubali kukosolewa na au kurekebishwa. Mimi si mkamilifu.
 
Back
Top Bottom