DOWANS yaandaliwa kununuliwa na Manispaa ya San Antonio, Texas-US

DOWANS yaandaliwa kununuliwa na Manispaa ya San Antonio, Texas-US

YOte haya tunaweza kuyazuia lakini wapambanaji tupo tupo tu hatuna mikakati ya kweli. Hata hii naweza kuitibua vile vile. Hadi jamaa waone kuiba Tanzania ni kugumu.
Inabidi kuwatibulia mipango yao, maana wanatufanya kama hatuoni huo wizi wanaofanya!
 
Hii nchi inawenyewe kweli? na je tunawajibika vipi kama wenyewe tupo? huyu F***kn Ngedele anatakiwa awe ameshajiuzuru toka siku alotaja wamiliki hewa maaka kama sikosei hata wale mchwa wao wanaojiita UVCCM walisema wazi kabisa kuwa yatajwe majina halali ya wanaomiliki DOOWAZI (Dowans) sasa huyu ngedele anasubiri nini? mkwere nchi ishamshinda mngese huyu :angry:
haiwezekani tunakuwa kama wajinga wote we have to do something, someone should come with a gud strategy jinsi ya kuanza tuingie barabarani mbona tunisia imewezekana huu ujinga utaendelea hadi lini ????? kwa nini sisi tu Jamani?? inakuwaje wahuni wanaohesabika kirahisi na wanajulikana wanatushinda mamilioni ya watanzania???
huu wanaoufanya ni ukiukwaji wa haki za kila raia kuwa na fulsa ya kufaidika/neemeka na raslmali za watanzania wote kwa ujumla ..
hakika ningekuwa na uwezo wa zaidi ya binadamu ningeanza kuua watoto wao mmoja mmoja maana haina tofauti na wao kutuua kwa wingi wakati wao wanafaidika na kuneemeka tena kwa jasho langu mwenyewe haiwezekani na wala haiclick kwenye akili yangu kwamba pesa ninayokatwa kodi ndio hii hii inawalipa hawa wa.se.nge wanaokwenda kutetea wizi kwa Taifa langu! no way some people are supposed to be killed hata kama ni haki za binadamu zinatakiwa kurukwa ili haki itendeke..hakuna hata kiongozi mwenye nia njema na hii nchi jamani? nikalale zangu tu usiku mwema wajamani khaaaa anayeongoza kwa sasa ubongo wake umeoza au unamakamasi..
 
Shamba halina mipaka wala halina mwenyewe, kwanini hata nyani wasifurahi kula matunda safi badala ya matunda mwitu? Wacha wanaojiita wenye shamba waendelee kulala watakuta miiba na mibigili, na hilo nadhani litakuwa si shamba bali chaka. Yachukua nini wenye shamba kuamka na kulinda mipaka yake hata wapate kula na kufaidi matunda yake? Je wanahitaji miaka mingapi kutoka usingizini?
 
Yeyote atakayekuja hata akiwa BP energy ameinunua Dowans lazima aonje muhogo mchungu wa Tanzania. Mie hili sio tatizo tutapambana na mwakilishi mpaka kieleweke.
 
Dawa ni moja tu,kuingia mitaani kuandamana hadi tuwashinde

Tatizo wanayoyafahamu haya ni wachache mno wenye access na net. je tufanye nn ili kila mtanzania wayafahamu haya madudu? ukipata jibu la hili swali watatoka hawa mbio bila hata kuvaa viatu.
 
Mi nahis viongoz wetu wamejisahau sana, wanahisi uwepo wao madarakani ni kwa nguvu zao na sio za wananchi ambao ndio wamewaweka kuwawakilisha sasa wanafanya mamuzi yao kama wanavyopenda wao na sio wananchi walio waweka, wanaitaji kuonyeshhwa ITS PEOPLE"S POWER and not their power otherwise we are up for what ever happens.
 
inabidi tuwe na roho za waarabu kama vipi manake diplomatic method hawataki kutusikiliza tunapigia mbuzi gitaa

Ni kweli JK ni mwanajeshi kwahiyo deplomasia hai-work kwake ni violence tu inaweza kumwondoa.
 
jamani mimi naomba anaejua kutengeneza bomu anielekeze nimechoka..
 
Kutokana na Muandishi wale jamaa waliotajwa na Ngeleja ndo wapo mezani wanakamilisha deal ya Kuuziana makampuni....No way watuone sie vilaza kiasi hiki......so it means hao wanaonunua ndo watakua wanatudai sisi haya Mabilioni......Kuna watanzania wanahusika katika hii deal??? hawasikii kilio cha damu tunacholia??? hwana hata chembe ya Huruma??????
 
Lakini mimi najiuliza inawezekanaje kampuni hewa , kitapeli(Richmond) inanunuliwa na Dawons inakuwa halali na baadae mnatuambia hiyo kampuni inanunuliwa tena na CPS Energy Inc. inakuwa halali? Wanasheria tuelewesheni sisi malayman
 
Back
Top Bottom