DOWANS yaandaliwa kununuliwa na Manispaa ya San Antonio, Texas-US

yote haya tunaweza kuyazuia lakini wapambanaji tupo tupo tu hatuna mikakati ya kweli. Hata hii naweza kuitibua vile vile. Hadi jamaa waone kuiba tanzania ni kugumu.

hii nchi sasa imefikia pabaya haswa na sidhani kama unahitajika uvumilivu zaidi, huu utawala wa chukua chako mapema(ccm) unajidhihirisha wazi. Hebu mwanakijiji itibue isue hii tupambane nao hata kwa maandamano maana wanadhani watz bado tumelala.
 
164486_148946258489184_100001214312304_263909_4164478_n.jpg
ukishanga ya TUNISIA utayaona ya MISRI ALGERIA NA YEMEN..TANZANIA HAKUNA AMANI..!!..ipo nidhamu ya uoga na elimu duni tu..!!..
UMASKINI TANZANIA
167335_150477625002714_100001214312304_272095_3322046_n.jpg
162725_150477718336038_100001214312304_272097_3233433_n.jpg
72004_150507224999754_100001214312304_272346_1416553_n.jpg
165186_158709324179544_100001214312304_327051_333484_n.jpg
168633_158709240846219_100001214312304_327050_2805968_n.jpg
Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi.................&........ Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.http://umaskini.blogspot.com
 
kwa muelekeo huu ulivyo,2015 ni mbali zaidi ya hii miaka 50 tunayotimiza,cha muhimu ni kumfanyia huyu jamaa kama Ben Ali yeye na jamaa zake RA na EL kwani watu hawa maki zao zikitaifishwa tunaweza tengeneza bajeti ya serikali hata miaka 3 bila kutegemea wafadhili.
:A S thumbs_down:
 
Rejea hotuba ya Rais ya Mwaka mpya. Wantazania walipoaminishwa kuwa kupanda kwa gharama za umeme hakukwepeki na hakuongelea chochote kuhusu Dowans. Walishaanza kujilipa tayari.

Hivi maandamono ya Tukita yameishia wapi-maana watanzania ndo wanaendelea kukamliwa hivyo!


 
Ben Ali atarudishwa Tunisia na kusimama mbele ya Mahakama ya Sheria na kujibu tuhuma na kesi za wizi na ufisadi. Yeye, familia yake na rafiki zao. Haya majizi ya Tz hajifunzi wala hayoni kitu hapo....wasubiri ipatikane Katiba Mpya Tz waone kama makaburi yao hayazungumza.....usiku umeendelea sana kinachofuata ni kupambazuka.
 
It's now long overdue to wait while the fisadi ruthlessly loot Tz. We stop talking and start acting....najuta kuwa mbali na nyumbani!
Tukisubiri tuwe prepared, coordinated nk hali itakuwa mbaya...kwani vita ya Kagera Tz ilijiandaa muda gani?
 
Tuliambiwa kuchagua CCM ni kuchagua maafa. 2015 ni mbali sana na kuwa-impeach ni ngumu.
Nguvu ya umma ndo jibu pekee . Naamini Kama wenzangu kwamba "DOWANS imebeba anguko la kisiasa kwa kikwete.
 
Nilitegemea wanaofanya mazungumzo wawe ni wamiliki "halali" wa Dowans ambao hawapo nchini,sasa "agent' wao ndo anauza kampuni bila ya wenye kampuni kuhusika?!..,Ukweli uko njiani ...
 
Du! am speechless... Hivi jamani huko jeshini, UWT, na hata wanausalama wastaafu hakuna mwenye uchungu na hii hali tuanze kuwafyeka hawa watu mmoja mmoja?! Jamani RA anaishi wapi?! Khaa mi nimechoka kabisa
 
Tumwombe Mwakyembe atuongoze kutoa balaa ili jamani , mbona JK anatumaliza, kwani tumemkosea nini au kwa kuwa nilinyima kura
 
YOte haya tunaweza kuyazuia lakini wapambanaji tupo tupo tu hatuna mikakati ya kweli. Hata hii naweza kuitibua vile vile. Hadi jamaa waone kuiba Tanzania ni kugumu.

MMM,
Pse subiri kwanza bado sijamaliza hii "Jinsi Richmond/Dowans walivyoizunguka TANESCO NA TAIFA ".
Unajua i cant imagine what kind of a person you could be!!
 
Back
Top Bottom