DOWANS wawasha Mitambo yao

DOWANS wameingilia mlango wa nyuma. Wameingia mkataba na SONGAS. Umeme wao wanawauzia SONGAS. Kisha SONGAS inaiuzia TANESCO. Tafakari.

Nimekupata mkuu at least umeandika kitu cha maana badala ya porojo kila siku,nilipatwa na mshangao speed ya TANESCO na DOWANS kuingia mkataba ilikuwa kubwa sana kumbe wazee wa dili walitafuta njia rahisi kama kawaida yao.
 

Braza... sisi hatutaki walipwe kabisa na sio kupunguza deni... we unafikiri atapunguza kwa kiasi gani??
 

Umeandika habari nzuri, ila basi wakati mwingine uangalie spelling unapondika, ina udhi sana kusoma maneno na majina yaliyokosewa kuandikwa. Inavuruga mtiririko wa usomaji. Tafadhali sana.
 

Nilipokuwa darasa la pili ukiniuliza tano toa tau, najibu inabaki mbili. Lakini ukiniuliza tatu toa tano, nilikuwa najibu HAIWEZEKANI. Nilipofika darasa la sita, nilijua kumbe tatu toa tano ni hasi mbili.
Ukimuuliza Kikwete 'tatizo la umeme (na mengine) Tz litatatuliwaje, atakujibu HAIWEZEKANI, lakini kwa mtu mwenye upeo kama walio nao watanzania wengi, atakupa jibu rahisi tu na sahihi. Tatizo la umeme linatatulika lakini kwa uwezo na upeo wa viongozi tulio nao, HAIWEZEKANI.
 

umenifurahisha sana kwakweli nilikuwa sijafurahi siku nyingi
 
kwa hiyo mgao umeisha? kwangu hawajakata umeme tangu juzi, watueleze imekuwaje ni mabwawa yamejaa au ndo kimya kimya dowans wanakamata mshiko wao
 
AM WAITING KWA HAMU KUBWA SIKU TUTAKAYOINGIA BARABARANI KUWATOA HAWA WATAWALA BOMU....:rain:


watanzania tulishalogwa tiyari....KILA MTU ANAKULA 10 YEARS ANAVUNA NA KUONDOKA,SISI TUNASEMA TUNA DEMOKRASIA VIONGOZI WANAACHIANA MADARAKA...KUMBE SISI TUMEKUWA KM SHAMBA..VILE,WANAVUNA NA KUMRUSHIA MPIRA MWINGINE.HAWANA WANALOTUFANYIA....LA MSINGI NI KUANDAMANA KUONDOA SISIEM.SI KIONGOZI.
 
nchi inaendeshwa vipi na majenereta?
maduka kariakoo yatumie majenereta, na nchi nayo inatumia majenereta? hii kali..
 
Endapo shida zetu (kama hii ya mgao wa umeme) zikitufanya tuhalalishe mambo ambayo ni haramu basi Taifa limekwisha.

Nauliza; uko tuendako tukiwa na matatizo mengine si tutapokea hata hela za madawa ya kulevya hili tuondokane na hilo tatizo?

Watu binafsi ndiyo uendesha maisha kwa mtindo huo hili kuokoa nafsi yao lakini serikali zinatakiwa kuendeshwa kwa principles!

Ni makosa kuendesha serikali kama familia kwa sababu unalolifanya leo linakuwa ni msingi wa yatakayotokea kesho.

Tukiruhusu hili la Dowans ipo siku tutasikia serikali inaingia tena mkataba na kampuni kama KAGODA!


TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huuu ni usenge jazz band, hivi serikali yetu chini ya sisiemu na mkwere wanashindwa kununua mitambo kama ya dowans? Mbona wanaweza kununua mashangingi VX V8 kwa mawaziri, makatibu, wakurugenzi na juzi tu wamewalipa wabunge 90mil*310, huu ni ujinga kabisaaaaaaa, sijui viongozi wetu wanafikiri kwa kutumia ubongo au kamasi.Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
...thanks for the infomation!!! i'm eager for more and more infoz!
 

Updates, 22.02.2011:
Wafanyakazi wa Dowans wapo katika pilikapilika za kufanya marekebisho madogo madogo katika mashine zao ambazo bado hazijawashwa nazo ni mashine tatu zenye uwezo wa kuzalisha 20-25MW kila moja. Pilikapilika hizi zinaonesha huenda wanataka kuwasha mashine nyingine zaidi. Lakini bado nasisitiza Gesi haitoshi. Tusubiri tuone!
 
:A S 13::decision:sasa hichi kizungumkuti,
mi naomba kuelewesha,iwapo kesi imeisha,mahakama imeamua tumlipe,sisi tumevunja agizo la mahakama,mdai kakaa na mdaiwa kaamua amlipe+ kuikodi hiyo mitambo,
yani hapa kama sielewi akili inazunguka tuu
sheria ya wapi hiyo???:A S 20::bowl:
 
<p>
Hiii nchi kweli kiraka...
</p>
<p>&nbsp;</p>JAMANI JAMANI MBONA MABABU ZETU KINA MKWAWA MELI KINJIKITILE NK TUNA AMBIWA WALIKUWA MAJASIRI MPAKA WAKOLONI WANAKIMBIA SISI TUNA LAANA GANI ??? MPAKA TUNATAWALIWA NA WAKIMBIZI KAMA ROSTAM ??
 

Kwenye red:
Capacity charge mkuu.
Mitambo kuwepo tu pale hata kama haizalishi, inaigharimu Tanesco zaidi ya USD 200,000 kwa siku. Na hii si kwa Dowans tu bali ni kwa makampuni yote yanayoiuzia umeme Tanesco. Wakizalisha, mahesabu mengine ambapo huwa wanauza umeme kati ya sh. 90-120 kwa unit.
Alstom kule Mwanza haijawahi kuzalisha lakini walikuwa wanalipwa kiwango kama hicho kwa kipindi cha zaidi ya miaka mi3. Sina hakika kama wameshaondoa mitambo yao.
Tatizo letu ni lile lile; Mikataba iliyosababishwa na tamaa ya baadhi ya watu ambao siwezi kuwaita "Watanzania".
 
Kwa utawala huu ndugu zangu tutakoma! Yaani mpaka miaka mitano iishe sijui tutakuwa na hali gani?? Viongozi wameshindwa kuwa wabunifu!! Kama hawawezi kubuni vya kwao si waige basi kutoka kwa wenzetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…