DOWANS waanza kulipwa rasmi na serikali

DOWANS waanza kulipwa rasmi na serikali

Slaa,Mbowe, Sitta na Mwakyembe wameingiaje hapa kwani ndio wanaoongoza serikali au walioamulu idara kuchangia asilimia tano. Sote tunajua Rostam alikuwa fasilitator tuu, dili na Baba Riz1

Zitto alionya kuvunja mkataba wanasheria uchwara wakajifanya kubisha, sasa kwenye court ya kimataifa ya biashara na ya ndani tumekula mweleka na gharama ya fidia ni kubwa kuliko bei waliyokuwa wanataka kutuuzia,

sasa fidia tunalipa na Rostam kaingia ubia na Wamarekani ili kuwaziba wanasiasa midomo, kwenye Symbion hii ilobadilishwa jina toka Dowans hatumsikii Slaa,mbowe,sitta wala Mwakyembe wakati mitambo ni ileile iloitwa chakavu, wamefyata kisa Marekani ina hisa so wakipinga itakula kwao.

Sasa Rostam anakula Fidia,anakodisha Mitambo kama kawa na kelele zimestop kwa nini wahindi wasitudharau?
 
TUNALIPA DOWANS kutokana na KIBURI, JEURI, FITNA NA SIASA ZA CHUKI ZA SITTA na kundi lake la CCJ.

Ile Report ya Richmond ilipikwa na ikatangazwa kiufundi sana pale Bungeni.
SISI walalahoi tulimsifia sana MWAKYEMBE. Leo tunalipa Billion 96 na tunalalama nini????? Tulishabikia sana. Tuliwaona Mashujaa wale wabunge waliotaka mkataba uvunjwe. Jamani MKATABA ni MKATABA siyo lele mama. Ndiyo imetufikisha hapa. MASIFA KIBAO leo tunainamisha vichwa vyetu. Sisi vijana tusipotahadhali tunatumika vibaya kwa kibwege ----- tu.

Kwani mkataba tuliingia na Dowansi au Richmond?
 
Hii ndio kiboko ya wanasiasa uchwara wanaojiita wapinzani na wenzao.

Walipiga kelele serikali inataka kununua mitumba mitumba kipindi Dr Rashidi wa Tanesco alipotaka tununue hiyo mitambo. Sasa wenzenu wamarekani wamenunua mitumba hiyo hiyo na wanaiuzia Tanesco umeme sasa mtakoma kuringa bili za umeme maana mpini wameshika wao makali tumeshika sisi. Na sasa mnalipa fidia!

wabongo sisi hovyo kabisa kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalam!!
 
Hivi yule Mzee Ndesamburo wa Moshi Chadema alipokuwa analizungumzia suala hili bungeni alikuwa anajua uzito wake? alisema anawafahamu hawa Dowans ni vijana wahuni wanaokaa pale kwenye hotel yake ya Keys, swali wahuni wanaweza ku file kesi katika mahakama ya kimataifa ya biashara? Huyu mzee Ndesamburo aliangalia nje ya kikombe na sio ndani ya kikombe, wako wakubwa ktk nchi hii kwenye scandal hili.
Unajua hao walikuwa watoto wa nani? Acha kuchezea wazee wanaongea kwa mafumbo, mjinga hawezi elewa. Kalaga bao.
 
Kwanini waliosini mikataba hii tusiwapige mawe mpk kufa,washasini mafeki mengi jamani na imetosha sasa......tutawajali mpk iweje!les react against their selfishness;Tuk Fhem!

duh mwenzetu utashitakiwa kwa kosa la ugaidi kama Lwakatare, unataka tumpige JK, Rostam na EL mawe mpaka wafe...
Kova sijui kalala...
 
sasa naweza kuelewa kwanini huku Dodoma Tanesco wanakuletea Bill ya umeme na mtu wa kukata umeme hapo hapo... nilikuwa nashangaa sheria ya kumpa mteja masaa 48 imefia wapi kumbe kibano cha kulipia Dowance.
 
TUNALIPA DOWANS kutokana na KIBURI, JEURI, FITNA NA SIASA ZA CHUKI ZA SITTA na kundi lake la CCJ.

Ile Report ya Richmond ilipikwa na ikatangazwa kiufundi sana pale Bungeni.
SISI walalahoi tulimsifia sana MWAKYEMBE. Leo tunalipa Billion 96 na tunalalama nini????? Tulishabikia sana. Tuliwaona Mashujaa wale wabunge waliotaka mkataba uvunjwe. Jamani MKATABA ni MKATABA siyo lele mama. Ndiyo imetufikisha hapa. MASIFA KIBAO leo tunainamisha vichwa vyetu. Sisi vijana tusipotahadhali tunatumika vibaya kwa kibwege ----- tu.

mkataba wenyewe si aliyeingia aliingia kwa maslahi ya wachache na si taifa
 
Wanaolipwa ni Dowans au MaCCM, fungu la uchaguzi hilo, EPA haipo na 2015 imekaribia
 
ila kikwete kwa kweli basi kuwa na Roho ya kibinadamu, hata Simba kunakipindi anakutana na Mbuzi anamwacha hasa kama ameshiba...
yani wewe Mungu angekubadilisha ukawa simba Serengeti isingekuwepo ungekuwa unaua wanyama wote kasoro wale usiowaweza kama Rostam- Nyati, Chenge- Chui, EL- Kiboko... duh yani nasikia kulia tu kwa jinsi mahospitali hayana dawa, watoto kila siku idadi ya wanaokufa inaongezeka na wewe unajifanya unajua lakini bado unaendelea tu kuturushia na mkuki...
Marafiki zao wametupa ARV fake watu wanaendelea kufa ila hiyo sio ugaidi .... ?????????????????????????????????????????
 
Mkuu sasa tufanyaje maana tunakwisha?
 
Slaa,Mbowe, Sitta na Mwakyembe wameingiaje hapa kwani ndio wanaoongoza serikali au walioamulu idara kuchangia asilimia tano. Sote tunajua Rostam alikuwa fasilitator tuu, dili na Baba Riz1

Tunazungumzia Ukali walioonesha wakati wa kubadili jina toka Richmond kwenda Dowans mbona hauonekani kutoka Dowans kwenda Symbion? Watu walishauriwa tununue mitambo ili tuimiliki kwa 46 Billion watu wakaja juu, sasa tunalipa 96 Billions kulipa fidia na bado ile mitambo "chakavu" tunakodi we bado huoni tatizo? Tunahoji ukimya wa ghafla umesababishwa na nini toka kwa wanasiasa wale walokuwa wakali sana?
 
Zitto alionya kuvunja mkataba wanasheria uchwara wakajifanya kubisha, sasa kwenye court ya kimataifa ya biashara na ya ndani tumekula mweleka na gharama ya fidia ni kubwa kuliko bei waliyokuwa wanataka kutuuzia,

sasa fidia tunalipa na Rostam kaingia ubia na Wamarekani ili kuwaziba wanasiasa midomo, kwenye Symbion hii ilobadilishwa jina toka Dowans hatumsikii Slaa,mbowe,sitta wala Mwakyembe wakati mitambo ni ileile iloitwa chakavu, wamefyata kisa Marekani ina hisa so wakipinga itakula kwao.

Sasa Rostam anakula Fidia,anakodisha Mitambo kama kawa na kelele zimestop kwa nini wahindi wasitudharau?
Msilie sana ndio ubepari uchwara ulivyo. Mwisho wa yote nchi itamilikiwa na watu sita au saba. Raia wote tutakua kama tuko kwenye shamba la mkonge (sisal estate), manamba huku tunadhani ni raia wa nchi huru.
 
Hatmaye serikali imeanza kuilipa DOWANS baada ya kesi iliyokuwa mahakamani kuamuliwa DOWANS ilipwe.
Mabilioni ya pesa ya kampeni ya LA kupitia Rostam yamepatikana. Kodi zetu ahsante JK endelea fyonza hadi tone la damu la mwisho!
 
manda1.jpg
 
Tatizo la Tanzania Siasa inaongoza nchi badala ya nchi kuongoza siasa. Chuki na fitina pamoja na akili mgando ni janga kwa Taifa hili.

Tumecheka na nyani tunaambulia mabua.Mh Zito pamoja na wadau wengine walishauri serikali inunue mtambo huo ilikunusuru nchi isiingie gizani pamoja ya kwamba sheria za manunuzi haziruhusu. Kamati ya Mwakyembe na Sitta alipinga vikali na kudanganya Umma kwamba haufai.

Katika mapendekezo yao walishauri serikali ivunje mkataba na mtambo huo uondolewe nchini AS SOON AS possible.

Kama kweli watendaji hao waliona hivyo kwa nini waliruhusu mtambo huo ubaki nchini?Inachoonekana siasa chafu za kupakana matope na unafiki ndo vinavyotutia umaskini wa kupindukia. Nchi inashindwa kutoa mikopo kwa wanavyuo au kulipa karo kwa walobahatika kupata wakati fedha zinachotwa kiunyanganyi. Haya mambo ya kudadia fani za watu hasa sheria tunaangamiza nchi.

Pamoja na hayo kwanini President asiingilie kati au autaifishe au hao Dowans/Symbion/Richmond tuwaombe watuonee huruma watusamee deni hilo. Kama ni hivyo unafuu wa kupata umeme ni hadithi ndo maana Mramba/Tanesco alisema ukweli kuwa hata Tanesco isilipe mishahara na huduma za uendeshaji zisitishwe Shirika haliwezi kusimama lenyewe lazma bill kwa mteja ziongezeke. Viongozi wetu hawataki kusema ukweli ingawaje ukweli unauma.

Mwache Rostam ale nchi twayataka wenyewe, hili deni linauma sana. Katika Program za RURAL ELECTIFICATION -UMEME VIJIJINI symbion anapendelewa sana wakandarasi wengi wananyimwa fursa hii.

Mi naungana nawe kwenye mahala fulani, lakini naongezea kuwa siasa kuongoza nchi ndo msitakabali wa kimtazamo;lakini si bora siasa, lakini ziwe siasa zenye dhamira, na utahabiti wa kweli kuwatumikia watu hasa wanyonge , sababu nchi yetu ya watu masikini na si watu wa kati au matajiri.Hili sual la Richmond, dowans, na sas symbion, ni kiini macho ambacho rais ana uwezo wa kulimaliza.Nyerere alipoanziash azimio la arusha alijua atakuwa na upinzani mkali mno .lakini leo kuna rasilima zilizotaiishwa nchi inafaidika maka nyumba za nhc nk.Mtu hawezi kushinda na dhamira ya watawala.hapa ni kubebana bila kujali masilahi ya umma.Kuwepo mtambo huo si kosa bali kuutaifisha ilikumaliza mzozo ndo hoja.na pai wanaohusika , wakishughulikiwa ingejenga utulivu kuliko kuhangaika na akina ulimboka na kibanda;huku wananchi walio wengi wakiteseka
 
Mtukufu Raisi kutoka Baga moyo alisema LAZIMA tulipe do wans.... Hili ni dili la wakubwa wamelitengeneza.......Fedha za kuchakachua uchaguzi wa 2015 hizooo. Watanzania tunalalamika maisha magumu wakati tumeyataka wenyewe. Sisi ndo tuliwaweka madarakani basi tuwaondoe hawatufai. Hata ndoa za wakristu ikiboa mnapumzika kila mmoja ajitafakari. Kwa nini tunaogopa kukipumzisha cha cha makabaila?
Wana nn jipya miaka ya utawala
Tuamkeni wtz
 
Dah mzanzibari suleiman al adawy kweli jamaa mjanja dah kawaona wanafki wakipiga kelele kamuuzia mmarekani tena top mangment yote ni ma CIA hela za mitambo kala na hela zetu bil 96 anakula haya sasa kina six na wenzake wapige keleleeeeeee ooooreeeeee
 
Back
Top Bottom