Kwa serikali hii lolote linawezekana,sauti ya mwisho hapa nchini ni sauti ya Rais pekee,kama yeye hajasema kuwa hyo pesa hailipwe bs ujue hakuna la maana hapo,kuna mda nafikiria kama mkuu wetu nae anaongozwa na kupewa amri na watu fulani
Inawezekana mpaka leo hujamfahamu raisi wako!!!!? Hili ndio tatizo hasa la waTZ na ndio sababu wanashindwa kuchukua maamuzi thabiti kama ya wenzetu Sierra Leon, Tunisia, Misri, Libya e.t.c ..........
Mmmmmh .........!!! Bado nafikiri tatizo ni nini hasa kama ambavyo masanja nafikiri kama ...