TANESCO WAKE UP:
Tunatumia muda mrefu sana kujadili suala hili, kiasi kwamba tunasahahu kuwa TANESCO wanatakiwa kuchukua hatua za kisheria kupinga hiyo hukumu je Tanesco wamefanya hivyo mpaka sasa. Masuala mengi ya sheria yanenda na muda je kwenye hili Tanesco wanajua hili au wanayumbishwa huku na huko.
Nahisi kuwa by the time watakapokumbuka kuwa hawajachukua hatua za kisheria, watakuwa wamepitwa na muda.