Hayo yote yakifanyika Rostam ataendelea kuwa Raia wa Tanzania na Mbunge wa Igunga?
Pamoja na mengi aliyofanya huko nyuma ameendelea kuwa mbunge. Atalipwa na kuendelea na nyadhifa zake. Itachukua muda kwa sisi Watz kujitambua!
Hayo yote yakifanyika Rostam ataendelea kuwa Raia wa Tanzania na Mbunge wa Igunga?
Pamoja na mengi aliyofanya huko nyuma ameendelea kuwa mbunge. Atalipwa na kuendelea na nyadhifa zake. Itachukua muda kwa sisi Watz kujitambua!
Son of soil,
Nakuomba kwanza hii tabia ya kutuandikia kwa maandishi makubwa inakuwa ngumu kufatilia unachokisema yet alone kukufahamu nini unachoongea.
Pili usitulazimishe tukubaliane na mtazamo wako wakati hoja yako ni dhaifu kama ifuatavyo:-
a. Kwanza wahusika wakuu wa mkataba ni REDVCO au Richmond na Tanesco. Hivyo Richmond alitakiwa apate consent ya Tanesco na sio waziri. Hilo ni kosa kubwa na mimi ningeliletewa hiyo kesi wangelipumulia mashine kama sio kutokwa na majasho.
Tatu. Unadai waziri wake amewapa go ahead na tanesco wakakubali umeme kumbuka Tanesco kabla ya hapo walikataa kukubali huo mkataba wa Richmond. Akina Karamagi na wenzie wakawalazimisha waukubali. Pia baadae ilipokuja Dowans pia walilazimisha ndio Tanesco wakakubali. Lakini jiulize je Richmond ilihamisha mkataba wake na Tanesco lini? (Ilikuwa kabla hawajawaandikia Tanesco kuhamishia ownership Dowans). Hivyo basi bwana mkubwa hilo ni kosa kuu huwezi kufanya mambo kienyeji kwa jina lengine misrepresentation of facts ambazo ni conditions of the contract na hapo ndio unakuta Richmond wamevunja mkataba wao in the first place.
Sasa kama wao wametuletea umeme tukatumia imekula kwao kwani mkataba ambao ni void mwanzoni kila kitu kinachoendelea pale ni void na hivyo basi Tanesco hawana wajibu wa kuwalipa mpaka watueleze kwanini walihamisha mkataba kwa Dowans.
Unazidi kuonyesha ulivyolelewa kifisadi na ulivyokosa adabu kwa wasomaji wa JF kwa kuendelea kuwapasua masikio kwa maandishi ya jazba na yasiyokuwa na mshiko. Loo ! unafisadi hadi nafasi ndani ya JF ! Pole sana lakini hoja yako ya kuwatetea wezi na matapeli na kudai lazima walipwe kamwe haingeweza kutolewa na mtu anayejiita mzalendo, leave alone mwenye akili timamu.
Tazama unavyojichanganya, unaposema sisi tukae chini tupange namna ya kuwa..blah blah, je una maana gani ? Hao sisi ni akina nani na wao ni akina nani ? Hivi hujui kuwa wawajibishaji ndio hao hao wezi wetu na ndio hao hao Dowans na wameamua kujilipa kwa mlango wa nyuma. Unadai wewe ni mzalendo lakini mzalendo wa nchi gani ? Nina hakika sio Tanzania - wacha kujitafuna mwenyewe kama punguani,waaacha !
Halipwi mtu hapa nanyi mnaojidai mmesoma sijui mmepitia bla bla acheni kutudanganya hapa asiyejua kusoma nani? Dowans ilipwe ilipwe my %$&&&$$****^%%^%halipwi mtu na tuone kama watatufanya kitu hawataki wahame nchi wasituletee ujinga na upumbavu wao hapa. Na ninyi mnaojitia tumepitia tumesoma kwa makini rudini shule mkasome kwa makini mjijenge kimaisha kwa kutoa maamuzi ya busara kwa manufaa yenu na familia zenu sio kuja hapa tumesoma tumesoma asiyesoma nani tuondoleeni majinamizi yenu yes i said majinamizi.
son of soil, dowans= duwanzi,watanzania wa leo sio waduwanzi namna hiyo.:angry:
Wasiwasi wangu ni kwamba hata wale watu nilio kuwa nawaamini wamegeuka kabisa.Jamani what is this for Gods' sake.Money,money,money,money,zilimuua Yesu,sasa zinaua wengi.Generali Ulimwengu shame on you!
mkuu, bado hata mimi najiuliza, jee huyu mtu mwenye id gen ulimwengu anayemtolea thanks za nguvu huyu sos , ni yule jenerali tunayemfahamu?
Nadhani sie, ni mpuuzi mmoja amekuja na huyu sos kupeana support na si vinginevyo.
Hata jina lenyewe, tunayemfahamu huwa anajitambulisha kama jenerali na wala sio general
baada ya kuupitia vizuri mkataba wa tanesco na richmond wa june 2006,na baadae nikaupitia mkataba wa dowans na tanesco wa december 2006,pamoja na madudu yote ambayo richmond waliyafanya dhidi ya tanesco bado kulikuwa na concert ya waziri na serikali hata kama tunasema richmond walihamisha mkataba kwenda dowans bila kuwaeleza tanesco si kweli kwani waziri karamagi alikubaliana na richmond.
jambo la pili na muhimu ni kwamba nimepitia hukumu ya icc kwa mapana yaek na kipengle kimoja ambacho waamuzi wa icc wanakishikia bango ni kuwa dowans waliperfom na tanesco walipokea umeme wa dowans
hili ni la muhimu na watanzania wanatakiwa kujua hata kama mkataba wa tanesco na dowans ulikuwa sio halali bado unawishwa kuwa halali kwa sababu ya tanesco kupokea umeme wa dowans kama tanesco wasinglipokea umeme wa dowans basi mkataba ungekuwa batili ,lakini as long as the dowans perfomed and tanesco received those whether one or hundred megawats ,maana yake ni kuwa kulikuwa na mkataba halali na tanesco kuuvunja ilikuwa ni batili
cha kufanya
kwa ushauri wangu,serikali iwalipe dowans hizo billion lakini sasa irudi kwa kina karamagi na wengine wote waliohusika kuirubuni tanesco wakamatwe,wafilisiwe na wawekwe ndani huu uwe mfano.
angalizo
kama tanesco na serikali yetu ikikataa kuwalipa dowans,balozi zetu nje ya nchi zitakuwa atached na mwisho wa siku tutawalipa kwa riba kubwa sana,
watanzania,
msiogope kuwalipa dowans bilion 94,hao dowans wameshalipwa zaidi ya bilioni 172 mpaka sasa kwa ajili ya mitambo waliyoinunua kwa shilingi bilioni 60,nchi hii ina hela nyingi sana kazi yetu tunatakiwa kuwadhibiti wale wanaotumia fedha zetu vibaya.