BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND..blah blah blah !
Watanzania,
MSIOGOPE KUWALIPA DOWANS BILION 94,HAO DOWANS WAMESHALIPWA ZAIDI YA BILIONI 172 MPAKA SASA KWA AJILI YA MITAMBO WALIYOINUNUA KWA SHILINGI BILIONI 60,NCHI HII INA HELA NYINGI SANA KAZI YETU TUNATAKIWA KUWADHIBITI WALE WANAOTUMIA FEDHA ZETU VIBAYA.
Son of soil unatamka bila aibu kuwa liwapo na liwe Dowans lazima walipwe, hivi hapa unaongea kama nani na hii jeuri na dharau kwa Watanzania unaitoa wapi ? J
Kwanza unatakiwa ujifunze adabu na kwa kuanzia ujifunze internet etiquette, you are shouting na sisi si viziwi. Pili ujifunze heshima na ujue kuwa nchi kamwe haiwezi kuyumbishwa na wezi na matapeli. Tatu ujifunze uzalendo kwa nchi yako na taifa lako na uache kabisa kupotosha mambo kwa kuleta utetezi wa kijinga. Lazima ujue kuwa nguvu ya Umma ni paramount - shuhudia inavyofanya kazi hivi sasa dhidi ya ving'ang'anizi kama Mubarak wa Egypt. Wakumbuke Mao Tse Tung wa China, Nicolae Ceausescu wa Romania, Mohamad Reza Pehlavi wa Iran, Ferdinand Marcos wa Phillipines na karibuni Bel Bela wa Tunisia, walivyong'oka kwa nguvu za Umma !
Son of soil unatamka bila aibu kuwa liwapo na liwe Dowans lazima walipwe, hivi hapa unaongea kama nani na hii jeuri na dharau kwa Watanzania unaitoa wapi ? Je wewe ndiye Kikwete mwenyewe ama mbia wake ? Sasa ngoja na mimi nikutamkie wazi kuwa Dowans ikilipwa basi wewe, Kikwete na hilo genge lenu la wezi muanze kutafuta hifadhi nje ya Tanzania yetu. Nina hakika kuwa tukikataa kuburuzwa na hawa wezi, nchi nyingi zitatuunga mkono kwa msimamo wetu na tutajijengea heshima kubwa tofauti na unavyodai. Mahakama gani itabariki vitendo vya kitapeli na wizi na kuvihalalisha kwa sababu ya kuwa huduma ilipatikana, huu ni ujuha wa sheria.
Dowans ni Kikwete first and foremost ndipo wanafuatia hao wabia wake kina Rostam, Lowassa, Karamagi and the rest of the gang of thieves. Mtakuja wengi humu na mtatetea hadi mtokwe povu lakini mkae mkijua kuwa mmeisha kilukoroga na sasa mkae tayari kulinywa pamoja na machungu yake. Kikwete atazunguka dunia nzima, atasuluhisha hadi waChechnya lakini mwisho wa safari ajue tunamsubiri atupe maelezo kwa nini mchana anafuja hela zetu kwa kuwalipa matapeli halafu usiku anatembeza bakuli kama Matonya akiomba msaada. Imefikia mahali mtu unasita kutaja taifa lako, no enough is enough Kikwete must go - ni ama yeye au sisi wazalendo !
Hatutawalipa na tuone mwisho wetu.
Mbona CUBA hadi leo bado wanaishi?
Tusiwalipe na mwisho wa siku, tuvunje MUUNGANO na wao wabaki wakiidai TANZANIA ambayo haitakuwepo.
Kama wao wanaujua huu, sisi tunaujuwa huu.
NI UKICHAA,WENDAWAZIMU NA UJINGA MKUBWA KUZUNGUMZA KAMA KICHAA
HAIWEZEKANI WEWE UWE NA AKILI TIMAMU ETI UNANIAMBIA MIMI NISHIKE ADABU NA UNANIFUNDISHA UZALENDO?MIMI NAUJUA UZALENDO NA DHAMANI YA NCHI HII KABLA HATA HUJAZALIWA SO SHUT UP AND LISTEN
NARUDIA TENA WATANZANIA MTAKE MSITAKE,MPENDE MSIPENDE.HATA KAMA WATANZANIA WATAKULA MAJANI NA UDONGO,DOWANS LAZIMA WALIPWE
NA HII SIO SIASA HII NI KWA FAIDA YA TANZANIA HUU NI MSIMAMO WA KIZUONI MIMI SIO MJINGA NA NINAYAANGALIA HAYA MASWALA KWA MAPANA ZAIDI SIO KUSIKILIZA KELEL ZA WANANCHI WASIOJUA HATA KATIBA YAO NA KULETA HAPA
NARUDIA TENA SHERIA ZA MIKATABA YA KIMATAIFA ZIKO WAZI NA ZINAELEWEKA U CAN GOOGLE AND SEE ANY OF THEM,DOWANS WALIPEWA MKATABA NA RICHMOND KINYUME CHA SHERIA NAKUBALI KABISA MADUDU MAKUBWA YALIFANYIKA LAKINI
NA HILI WEWE NA WENYE MTAZAMO WAKO WAELEWE LAKINI
TANESCO WALIPOKEA UMEME WA KAMPUNI BATILI,NA WAKAUFURAHIA,NA WAKAUUZA KWETU MIMI NA WEWE ,NA TANESCO WAKAPATA HELA KUTOKANA NA UMEME WA DOWANS(PERFOMACE) SASA KITENDO HIKI KISHERIA KINAMAANISHA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA HALALI NA HALALI KABISA .
HALAFU REX ATTORNEY MAFISADI WAKUU WA SHERIA WAKAWASHAURI WAVUNJE MKATABA NA DOWANS ILHALI DOWANS WAMESHAZALISHA UMEME NA TUMEULA
KWA HILI TANESCO WALIKUBALI BIASHARA YAKE NA DOWANS BILA UBISHI WALA BILA KULAZIMISHWA NA BAADAE WAKAAMUA KUVUNJA NDOA YAO MAKUSUDI ILIO TUWALIPE KINA ROSTAM AZIZ NA KINA KARAMAGI
SASA LEO HUWEZI SEMA HATULIPI MSIWAPE MOYO WATAANZANIA WAAMBIENI UKWELI KUWA DOWANS LAZIMA WALIPWE ILA SISI TUKAE SASA NA KUPANGA MIPANGO YA KUWAFILISI NA KUWAFUKUZA NCHINI WALE WALIOIDANGANYA TANESCO WALE WALIOIBA NA KUHUJUMU NCHI YETU
DOWANS WATALIPWA NA SISI SOTE TUTASHUHUDIA TUTAKUWA HAPA HAPA NA SIO SIKU NYINGI.
watalipwa na ni haki yao hilo ni funzo tumepewa.

HAIWEZEKANI WEWE UWE NA AKILI TIMAMU ETI UNANIAMBIA MIMI NISHIKE ADABU NA UNANIFUNDISHA UZALENDO?MIMI NAUJUA UZALENDO NA DHAMANI YA NCHI HII KABLA HATA HUJAZALIWA SO SHUT UP AND LISTENand blah blah blah...[SIZE]
SASA LEO HUWEZI SEMA HATULIPI MSIWAPE MOYO WATAANZANIA WAAMBIENI UKWELI KUWA DOWANS LAZIMA WALIPWE ILA SISI TUKAE SASA NA KUPANGA MIPANGO YA KUWAFILISI NA KUWAFUKUZA NCHINI WALE WALIOIDANGANYA TANESCO WALE WALIOIBA NA KUHUJUMU NCHI YETU blah, blah, blah........
Son of Soil, kuwalipa Dowans, lazima tuwalipe, ila sababu halisi za kuwalipa, sio hizi wewe ulizoziorodhesha, bali tutawalipa Dowans smply because ni wakubwa wanajilipa.
Tusipowalipa Dowans, hakuna mali ya Tanzania itakayoshikiliwa kama attachment, kwa sababu mdaiwa ni Tanesco as an entitiy na sio serikali, afterall, serikali yatu haina movable assets mahali popote duniani, hatuna meli, wala ndege ya kusema wataishikilia. Nyumba zote za serikali tunazozimiliki nje ya Tanzania, ni ofisi za Ubalozi, zina kinga ya Rome/Geneve Convention on Diplomatic immuninity, kuwa kila aridhi ya ubalozi, ni sehemu ya nchi husika, yaani ofisi yetu London, ni aridhi ya Tanzania, ardhi ya nchi, haishikiki as attachment.
tunaanzia hapa dowans kuwadhibiti hawa mabwege mafisadi. Kwa sababu wamewahi kulipwa mahela mengi zai di bilioni 172, kama wanataka wachukue mali zilizoko ubalozi ethiopia.
Kwanza unatakiwa ujifunze adabu na kwa kuanzia ujifunze internet etiquette, you are shouting na sisi si viziwi. Pili ujifunze heshima na ujue kuwa nchi kamwe haiwezi kuyumbishwa na wezi na matapeli. Tatu ujifunze uzalendo kwa nchi yako na taifa lako na uache kabisa kupotosha mambo kwa kuleta utetezi wa kijinga. Lazima ujue kuwa nguvu ya Umma ni paramount - shuhudia inavyofanya kazi hivi sasa dhidi ya ving'ang'anizi kama Mubarak wa Egypt. Wakumbuke Mao Tse Tung wa China, Nicolae Ceausescu wa Romania, Mohamad Reza Pehlavi wa Iran, Ferdinand Marcos wa Phillipines na karibuni Bel Bela wa Tunisia, walivyong'oka kwa nguvu za Umma !
Son of soil unatamka bila aibu kuwa liwapo na liwe Dowans lazima walipwe, hivi hapa unaongea kama nani na hii jeuri na dharau kwa Watanzania unaitoa wapi ? Je wewe ndiye Kikwete mwenyewe ama mbia wake ? Sasa ngoja na mimi nikutamkie wazi kuwa Dowans ikilipwa basi wewe, Kikwete na hilo genge lenu la wezi muanze kutafuta hifadhi nje ya Tanzania yetu. Nina hakika kuwa tukikataa kuburuzwa na hawa wezi, nchi nyingi zitatuunga mkono kwa msimamo wetu na tutajijengea heshima kubwa tofauti na unavyodai. Mahakama gani itabariki vitendo vya kitapeli na wizi na kuvihalalisha kwa sababu ya kuwa huduma ilipatikana, huu ni ujuha wa sheria.
Dowans ni Kikwete first and foremost ndipo wanafuatia hao wabia wake kina Rostam, Lowassa, Karamagi and the rest of the gang of thieves. Mtakuja wengi humu na mtatetea hadi mtokwe povu lakini mkae mkijua kuwa mmeisha kilukoroga na sasa mkae tayari kulinywa pamoja na machungu yake. Kikwete atazunguka dunia nzima, atasuluhisha hadi waChechnya lakini mwisho wa safari ajue tunamsubiri atupe maelezo kwa nini mchana anafuja hela zetu kwa kuwalipa matapeli halafu usiku anatembeza bakuli kama Matonya akiomba msaada. Imefikia mahali mtu unasita kutaja taifa lako, no enough is enough Kikwete must go - ni ama yeye au sisi wazalendo !
NI UKICHAA,WENDAWAZIMU NA UJINGA MKUBWA KUZUNGUMZA KAMA KICHAA
HAIWEZEKANI WEWE UWE NA AKILI TIMAMU ETI UNANIAMBIA MIMI NISHIKE ADABU NA UNANIFUNDISHA UZALENDO?MIMI NAUJUA UZALENDO NA DHAMANI YA NCHI HII KABLA HATA HUJAZALIWA SO SHUT UP AND LISTEN
NARUDIA TENA WATANZANIA MTAKE MSITAKE,MPENDE MSIPENDE.HATA KAMA WATANZANIA WATAKULA MAJANI NA UDONGO,DOWANS LAZIMA WALIPWE
NA HII SIO SIASA HII NI KWA FAIDA YA TANZANIA HUU NI MSIMAMO WA KIZUONI MIMI SIO MJINGA NA NINAYAANGALIA HAYA MASWALA KWA MAPANA ZAIDI SIO KUSIKILIZA KELEL ZA WANANCHI WASIOJUA HATA KATIBA YAO NA KULETA HAPA
NARUDIA TENA SHERIA ZA MIKATABA YA KIMATAIFA ZIKO WAZI NA ZINAELEWEKA U CAN GOOGLE AND SEE ANY OF THEM,DOWANS WALIPEWA MKATABA NA RICHMOND KINYUME CHA SHERIA NAKUBALI KABISA MADUDU MAKUBWA YALIFANYIKA LAKINI
NA HILI WEWE NA WENYE MTAZAMO WAKO WAELEWE LAKINI
TANESCO WALIPOKEA UMEME WA KAMPUNI BATILI,NA WAKAUFURAHIA,NA WAKAUUZA KWETU MIMI NA WEWE ,NA TANESCO WAKAPATA HELA KUTOKANA NA UMEME WA DOWANS(PERFOMACE) SASA KITENDO HIKI KISHERIA KINAMAANISHA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA HALALI NA HALALI KABISA .
HALAFU REX ATTORNEY MAFISADI WAKUU WA SHERIA WAKAWASHAURI WAVUNJE MKATABA NA DOWANS ILHALI DOWANS WAMESHAZALISHA UMEME NA TUMEULA
KWA HILI TANESCO WALIKUBALI BIASHARA YAKE NA DOWANS BILA UBISHI WALA BILA KULAZIMISHWA NA BAADAE WAKAAMUA KUVUNJA NDOA YAO MAKUSUDI ILIO TUWALIPE KINA ROSTAM AZIZ NA KINA KARAMAGI
SASA LEO HUWEZI SEMA HATULIPI MSIWAPE MOYO WATAANZANIA WAAMBIENI UKWELI KUWA DOWANS LAZIMA WALIPWE ILA SISI TUKAE SASA NA KUPANGA MIPANGO YA KUWAFILISI NA KUWAFUKUZA NCHINI WALE WALIOIDANGANYA TANESCO WALE WALIOIBA NA KUHUJUMU NCHI YETU
DOWANS WATALIPWA NA SISI SOTE TUTASHUHUDIA TUTAKUWA HAPA HAPA NA SIO SIKU NYINGI.
watalipwa na ni haki yao hilo ni funzo tumepewa.
Mbwa ww, umetumwa, huku umekosea njia, F**K u
Mkuu kumbuka kuwa hao wanaotakiwa kuwajibika bado ni wadau ktk Dowans na nadhani wana percent fulani ya mgao. Iwapo watalipwa na kutakiwa kuwajibishwa watatumia udhaifu wa sheria zetu na kuachiwa na mwisho wa siku tunarudi palepale ground 0.Mkuu hapo nakubaliana na wewe kitu kimoja.... For me hata wakilipwa au wasilipwe lazima waliotuingiza kwenye hili janga wawajibike..., kwangu ni bora tupoteze hizo bilioni lakini watu wawajibike..... sababu ninachoogopa ni kwamba kutokuwalipa huenda watanzania tukaona ni adhabu tosha...., kumbe hawa jamaa watabuni mbinu nyingine za kutuibia.
NI UKICHAA,WENDAWAZIMU NA UJINGA MKUBWA KUZUNGUMZA KAMA KICHAA
HAIWEZEKANI WEWE UWE NA AKILI TIMAMU ETI UNANIAMBIA MIMI NISHIKE ADABU NA UNANIFUNDISHA UZALENDO?MIMI NAUJUA UZALENDO NA DHAMANI YA NCHI HII KABLA HATA HUJAZALIWA SO SHUT UP AND LISTEN
NARUDIA TENA WATANZANIA MTAKE MSITAKE,MPENDE MSIPENDE.HATA KAMA WATANZANIA WATAKULA MAJANI NA UDONGO,DOWANS LAZIMA WALIPWE
NA HII SIO SIASA HII NI KWA FAIDA YA TANZANIA HUU NI MSIMAMO WA KIZUONI MIMI SIO MJINGA NA NINAYAANGALIA HAYA MASWALA KWA MAPANA ZAIDI SIO KUSIKILIZA KELEL ZA WANANCHI WASIOJUA HATA KATIBA YAO NA KULETA HAPA
NARUDIA TENA SHERIA ZA MIKATABA YA KIMATAIFA ZIKO WAZI NA ZINAELEWEKA U CAN GOOGLE AND SEE ANY OF THEM,DOWANS WALIPEWA MKATABA NA RICHMOND KINYUME CHA SHERIA NAKUBALI KABISA MADUDU MAKUBWA YALIFANYIKA LAKINI
NA HILI WEWE NA WENYE MTAZAMO WAKO WAELEWE LAKINI
TANESCO WALIPOKEA UMEME WA KAMPUNI BATILI,NA WAKAUFURAHIA,NA WAKAUUZA KWETU MIMI NA WEWE ,NA TANESCO WAKAPATA HELA KUTOKANA NA UMEME WA DOWANS(PERFOMACE) SASA KITENDO HIKI KISHERIA KINAMAANISHA MKATABA WA TANESCO NA DOWANS ULIKUWA HALALI NA HALALI KABISA .
HALAFU REX ATTORNEY MAFISADI WAKUU WA SHERIA WAKAWASHAURI WAVUNJE MKATABA NA DOWANS ILHALI DOWANS WAMESHAZALISHA UMEME NA TUMEULA
KWA HILI TANESCO WALIKUBALI BIASHARA YAKE NA DOWANS BILA UBISHI WALA BILA KULAZIMISHWA NA BAADAE WAKAAMUA KUVUNJA NDOA YAO MAKUSUDI ILIO TUWALIPE KINA ROSTAM AZIZ NA KINA KARAMAGI
SASA LEO HUWEZI SEMA HATULIPI MSIWAPE MOYO WATAANZANIA WAAMBIENI UKWELI KUWA DOWANS LAZIMA WALIPWE ILA SISI TUKAE SASA NA KUPANGA MIPANGO YA KUWAFILISI NA KUWAFUKUZA NCHINI WALE WALIOIDANGANYA TANESCO WALE WALIOIBA NA KUHUJUMU NCHI YETU
DOWANS WATALIPWA NA SISI SOTE TUTASHUHUDIA TUTAKUWA HAPA HAPA NA SIO SIKU NYINGI.
watalipwa na ni haki yao hilo ni funzo tumepewa.
BAADA YA KUUPITIA VIZURI MKATABA WA TANESCO NA RICHMOND WA JUNE 2006,NA BAADAE NIKAUPITIA MKATABA WA DOWANS NA TANESCO WA DECEMBER 2006,PAMOJA NA MADUDU YOTE AMBAYO RICHMOND WALIYAFANYA DHIDI YA TANESCO BADO KULIKUWA NA CONCERT YA WAZIRI NA SERIKALI HATA KAMA TUNASEMA RICHMOND WALIHAMISHA MKATABA KWENDA DOWANS BILA KUWAELEZA TANESCO SI KWELI KWANI WAZIRI KARAMAGI ALIKUBALIANA NA RICHMOND.
NARUDIA TENA SHERIA ZA MIKATABA YA KIMATAIFA ZIKO WAZI NA ZINAELEWEKA U CAN GOOGLE AND SEE ANY OF THEM,DOWANS WALIPEWA MKATABA NA RICHMOND KINYUME CHA SHERIA NAKUBALI KABISA MADUDU MAKUBWA YALIFANYIKA LAKINI
Du Mtanzania mwenzangu umeme bill tumelipa na hatudaiwai na mtu yoyote, Dowans walichotushtaki ni ku-uvunja Mkataba wao walitaka waendelee mpaka leo kutukamua wazalishe wasizalishe walipweSASA KAMA TANESCO WALIPOKEA UMEME WA KAMPUNI FEKI WEWE KAMA JAJI UNAAMUAJE?KUILIPA KAMPUNI FEKI ILIYOZALISHA UMEME AU KUWALIPA TANESCO WALIOFURAHIA UMEME WA KAMPUNI FEKI NA KUWAUZIA WATANZANIA MASKINI KWA BEI YA JUU Na TENA KWA MGAO???
RACK U R BRAIN