Double standards kwenye kupigania harakati za Haki

Double standards kwenye kupigania harakati za Haki

Binadamu wengi huwa na double standards kwa sababu hawaongozowi kwa logic bali hisia zaidi, ndio maana hata Wasabato wanasema kufanya kazi Jumamosi ni dhambi lakini wanapanda daladala au kuendesha magari kwenda kanisani Jumamosi na pia wananunua vyakula kwenye migahawa ya watu wanaofanya kazi Jumamosi

Kwa hiyo Wasabato wanasema watu wasifanye kazi na kufanya kazi ni dhambi siku ya Sabato.

Lakini watapanda daladala au usafiri unaotumiwa na wanaofanya dhambi(kazi siku ya Sabato) hilo kwao hawaoni kama ni tatizo.😃
 
Hamjambo!

Hii unaizungumziaje?

Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu.

Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran.

Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina.

Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha anamponda Urusi.

Lakini yupo Upande wa Israel anayefanya jambo lilelile analofanya Urusi.

Hii double standard mnaizungumziaje?

Je ni ushabiki?
Inawezekana lengo lake sio kuwatetea Marekani bali kuwatetete wapigania haki wa Irani.
 
Nadhani inategemea kipa umbele cha mhusika. Kama kumuua mbwa aache kumgata mtoto. Ina maana umeamua uhai wa mtoto ni muhimu kuliko wa mbwa japo mbwa naye ana haki ya kuishi.

Unamaanisha haki hazilingani? Kuna haki kubwa na zipo za kawaida?
 
Hamjambo!

Hii unaizungumziaje?

Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu.

Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran.

Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina.

Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha anamponda Urusi.

Lakini yupo Upande wa Israel anayefanya jambo lilelile analofanya Urusi.

Hii double standard mnaizungumziaje?

Je ni ushabiki?
Tuna ya kwetu Babu!! Hayo hayatuhusu
 
..Nadhani watu wanampinga yeyote anayeungwa mkono na MAREKANI.

..Kwa hiyo wanapinga uonevu wa Israel, anayeungwa mkono na Marekani, dhidi ya Wapalestina.

..Halafu wanamuunga mkono Russia, anayembamiza Ukraine, ambayo inaungwa mkono na Marekani.

..WAMAREKANI ndio shida.
 
Back
Top Bottom