Muungano unalazimishwa na wahafidhina ndani ya ccm kwa manufaa yao siyo kwa waTanganyika wala waZanzibar. Waliungana Nyerere na Karume na baadae 1977 wakaunganisha vyama vyao vya TANU na ASP.
Sasa katika era hii ya vyama vingi muungano hauswikhi, kwani ule ulikuwa wa wana ccm, siyo wa nchi hizi mbili, ndiyo maana CCM wanaulazisha. Hawana nia nyingine ni kuendelea kutawala na kutunyonya. Mafisadi wakubwa.
Ccm wana nia ya nchi hizi mbili wananchi wake wafanye vurugu za kuukataa huu muungano fake, ili wahalalishe utawala wao wa kidikteta ie they want to legalize their dictatorial regime!!
Mungu ilaani CCM na viongozi wake kwa mateso wanayotuletea wkt wanatumia pesa nyingi kwa kisingizio cha muungano wkt watoto wakikaa chini mashuleni, mahospitali hamna madawa kama zipo basi ni fake etc