Double Dr. Emmanuel Nchimbi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Double Dr. Emmanuel Nchimbi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ulimakafu, Dec 22, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Bila kujali ile shahada yake ya kwanza ya uzamivu PhD,hivi majuzi yaani mwanzoni wa Desemba 2011 Mh. Dk E.Nchimbi alitunukiwa nyingine pale Mzumbe University baada ya kuipigia kitabu kwa muda mrefu-japo wengi hatukujua na kuipata.Kila la heri.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  To some of us.....Dr=Debit,....hivyo bado sijakupata vizuri mkuu
   
 3. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hii ya Mzumbe ndio tunaitambua,ya kwanza kanyaboya ndio maana ilibidi arudie kusoma ya ukweli baada ya kuona wenzake DR Magufuli akisoma UDSM.
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hizo PHD za mzumbe kwa viongozi si za kweli hao walimu wanampa kirahisi rahisi tu!. Aje asome nje aone hakuna kujuana!!
   
 5. K

  Kikomelo Senior Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona za nje ndo rahisi sasa? Huku kwetu unajua siku ya kuingia lakini siku ya kutoka huijui! Elimu ya nje ni ya kawaida sana, ndo mana mi nikikutana na mtu aliyesoma nje kwenye interview, labda anizidi kiingereza tu. mengine mengi ni ujanja ujanja tu.

  Nchimbi kafanya PhD ya thesis tu, kaandika miaka yote minne. Supervisor wake wanadai kafanya vizur sana.

  Ila mi ninachojua, ni kuwa wanadamu uona wao tu ndo wamesoma na wengine ni wanafukuza upepi!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mzumbe inapoza sana tu,tabu UDSM au SUA bana.Huko nje inategemea na chuo.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona single entry ya aina hiyo kwenye uhasibu (before name).
   
Loading...