Na maboss wanamchekea tu maana bingo zao zinatembeaHuyu jamaa ni Faaala sana anatembelea upepo wa SirMia ngoja kuna siku ataishi maisha mabaya sana huyu Mpuuzi.
Alishawahi kuwatukana wanachuo hawana akili ipo siku hao wanachuo wakija kuwa na nafasi au ushawishi kwenye hii nchi, huyu boya ataionq nchi ni jehanam
Mkuu hata kama ni kuongeaπmwanaume Hadi upelekwe out Dubai na mwanaume mwenzako wewe utakubali nije hapo nikwambie nataka kukutoa out nikupeleke Dubai utakubaliπππunaanzaje hata kumuaga mke wako au demu wako kuwa unatoka out na mwanaume mwenzako kwenda Dubaiπππhii hapana itakuwa ni chakula ya mkubwa kutoka mbogambogaDaah hii kali sasa. Mwache I mwamba ale vya bure. Mungu kamjaalia talanta ya kuongea
Jamaa si anafanya kazi ya influencer..! Yeye ni brand tayari hapoMkuu hata kama ni kuongeaπmwanaume Hadi upelekwe out Dubai na mwanaume mwenzako wewe utakubali nije hapo nikwambie nataka kukutoa out nikupeleke Dubai utakubaliπππunaanzaje hata kumuaga mke wako au demu wako kuwa unatokea out na mwanaume mwenzako kwenda Dubaiπππhii hapana
Kwani chawa sio mshawishi?Wewe kwa akili yako unaweza sema yule ni mshawishiπππππππππ
Alianza vizuri akaja kulewa sifa akahamia kwenye UCHAWA
Yule ni CHAWA maarufu
Basi tuna gen zuzusEti wanasema ni ujinga wenye faida hawa gen z
Kwahyo hata wewe huwa anakushawishi!!?π€π€π€π€Kwani chawa sio mshawishi?
Unafikiri hakuna vijana wanao ondoka na kitu kutoka kwake?
Hatari sanaNeno influencer wanaliharibu sana Hawa vichwa maji Yani sasa hivi machawa ndiyo mainfluensa shenziiii zaoπππila uzuri mbinguni Kila mtu atasema ukweli alikuwa anaendesha maisha yake duniani kwa kazi gani
Hii yote imeletwa na Gen Z wanapenda mambo ya kijinga kuliko vitu vya maana na wamekuwa wepesi sana kutolewa kwenye Reli kama walivyotolewa kirahisi kuhusu suala lile la bilioni 50 za mikopa kwa vijana sijui hata wameishia nalo wapiπππHatari sana
Huenda wameona ndo vijana wanacho penda,
. Imagine leo uanzishe content za kuongelea technology.. Hupati views kabisa