Biteko hana akili, alihamisha miradi yote toka Chato baada ya Dkt Magufuli kuuawa na wahuni. Yaani kwa ufupi ni mbinafsi sana na inasemekana empire alikuwa kaanza kujitengenezea ya rwandaYaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming
Watanganyika wametemwa wengi.Hakuna mzenj hata mmoja ambae alikuwepo kwenye baraza lililopita katemwa .Wazenj wote wamerudi.Na kina Wanu wameongeza idadi ya wazenjInnocent Bashungwa, Jenister Mhagama.
😆😆😁😁Kuna wizara mtu na mke wake ni Mawaziri...
Samia achomoi
No waziri au?Tulia ackson
Wapo?Innocent Bashungwa, Jenister Mhagama.
Toilet paper ikishatumika ina umuhimu gani mwingine?Yaani,
Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.
Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.
Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
D9 itamaliza yote hayoWatanganyika wametemwa wengi.Hakuna mzenj hata mmoja ambae alikuwepo kwenye baraza lililopita katemwa .Wazenj wote wamerudi.Na kina Wanu wameongeza idadi ya wazenj
Hiyo ndio ilitakiwa kua headline. Nimeingia huku kutafuta uzi wake.Kuna wizara mtu na mke wake ni Mawaziri...
Samia achomoi
WametemwaWapo?