ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,321
- 51,061
Hii ndio big story na ushuhuda wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
Kwamba akiwa Kidato Cha Nne wanafunzi ambao hawakuwa na ada ya Mtihani wa form 4 walifukuzwa shule,akaenda kutafuta ada akakuta wenzie wako somo la 6.
Huku wenzie wakiendelea kushangaa itakuaje nae alipiga Pepa la masomo yaliyosalia ila bahati nzuri mwaka huo Kabla ya Mtihani haujamalizika, Mitihani yote ilifutwa na ndipo akapata nafasi ya kufanya Upya na wenzie baada ya kuwa amelipa ada.
Sikiliza video hapa chini👇
My Take
Njia za Mungu ni za maajabu.Kila mtu ana story yake ya Maisha ila ya Dotto na Samia naona ni za kipekee sana.
Just imagine kutoka kufeli form 4 Hadi kuwa Rais wa Tanzania mbele ya wanaojiita wasomi na watabe kina Lissu, Slaa, Mwambukisi nk.