PostGE2025 Doria mitandaoni zinaendelea

PostGE2025 Doria mitandaoni zinaendelea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mithali 30:15-16
[15]Mruba anao binti wawili,
Waliao, Nipe! Nipe!
Kuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe,
Naam, vinne visivyosema, Basi!

[16]Kuzimu; na tumbo lisilozaa;

Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi!
 
Nawaza hizi nchi ziloendelea nazo zingezingatia ushirikina sifahamu zingekuwa wapi.

Ustaarabu wao ndo umewafanya wawe na maendeleo makubwa na uwezo wa fedha hadi zile "spare change" watupatia sisi kama misaada.

Ndo maana mida hi wao watuchora tu huku wakituma barua moja baada ya ingine yaani hatua kwa hatu mithili ya paka anyatiae kitoweo chae cha panya.
 
😂😂😂Nacheka kama mazuri
Fikiria uwanja wa taifa wa mpira unaingiza idadi ya watu 65,000 alafu kwa amri ya huyu mama wameua watanzania 10,000 na zaidi. Now you can imagine uanze kumwaga risasi kwa watu wote waliokaa na kusimama mule ndani ya uwanja wa taifa, hii itakuwa dimbwi la damu au mifereji ya damu itakayokuwa inamiminika? Chukua hiyo picha ili ujue kilichofanyika mikoa sita tu nchini kwa vijana wa kitanganyika😭🙌
 
Andiko zuri sana, ila maombi (point ya mwisho hapo) pekee hayatakuja kuokoa taifa hili. Watu wengi hujificha kwa kivuli cha maombi. Wote tukemee kwa nguvu zetu, hilo ni jambo muhimu sana
Hapana!

Kwanza, nadhani ni vyema tuelewe maana ya neno "maombi"

Maombi maana yake: Ni kutamka unachokihitaji kiwe au kitokee. Maneno haya yatamkwe mbele ya mwenye uwezo au nguvu ya kukupa hicho kitu katika eneo maalumu linaloitwa madhabahu au kwa kiingereza altar

Maombi huenda sambamba na sadaka au kafara au dhabihu kwa huyo mwenye nguvu ya ku - provide kile mwombaji anachotaka. Kumbuka, kufanikiwa kwako ni lazima kubebwe na "Imani" yaani uamini kuwa itakuwa kama utakavyo

Sadaka au kafara yako unaitoa mbele ya madhabahu (altar) ya huyo mwenye nguvu (yaweza kuwa mchawi/mganga au jini nk) kisha atakuambia "say your wish" yaani "tamko unachotaka kiwe". Ukimaliza hatua hii, kinachofuata na kuamini na kufanya matendo ya Imani kwa ajili ya kupata utakacho

NOTE:
1. Haiwezekani ukaruka na kuanza kutenda kabla hujabebwa na nguvu ya madhabahu ya Mungu unayemwabudu kwa kwanza kupitia hatua hizo hapo👆juu yaani: Toa kafara➖say your wish➖amini imekuwa➖tenda vitendo vya kuwezesha hicho unachochoamini kitokee na ukione kwa macho ya mwili na nyama!

2. Wachawi na waganga wana uwezo wa kuwapa watu vitu ikiwemo pesa, madaraka ya kimamlaka, utajiri, heshima na utukufu lakini huu wa kwao haudumu na huambatana na masharti magumu ya kutoa kafara kila siku, kila mwezi au kila baada ya kipindi fulani. Kumbuka pia, wachawi wanaweza kufunga watu wasivuke mstari fulani au wawe watumwa wa hali fulani daima mfano umasikini, magonjwa, huvuki kiwango fulani cha maisha nk nk

3. Ili kuishinda nguvu za madhabahu za kichawi, ni lazima upate madhabahu yenye nguvu zaidi kuzidi za majini, kichawi, kiganga na wasoma nyota na za wasihiri. Na ni lazima utoe sadaka kuu kuzidi sadaka iliyotolewa kwenye madhabahu hizi za kichawi. Na ni lazima na wewe utamke maneno (maombi) kwa kusema unataka kutokee nini badala yake kile usichokitaka. Na hiki ndicho alichomaanisha Mshana Jr aliposema "tuzidishe maombi"

4. Habari njema ni kuwa, kwa sisi Wakristo na yeyote anayetaka kuwa upande wa Kristo, hatuhitaji kutoa kafara au dhabihu au sadaka yoyote Ili madhabahu ya Mungu wetu Yehova itusikie na kutujibu. Ni kwa sababu, Mungu mwenyewe kupitia kwa mwanae wa pekee Yesu Kristo alishajitoa sadaka kwa kufa na kumwaga damu yake msalabani, akatukomboa na kutugomboa maana tulikuwa tumeuzwa tukawa watumwa sababu ya dhambi ya adamu bustanini Eden. Ili kujikomboa malipo ya damu yalihitajika. Sisi tulikuwa hatuwezi kujikomboa wenyewe. Ilikuwa ni lazima tukombolewe na Mungu mwenyewe. Ndipo akaja mwenyewe kwa sura ya Yesu Kristo

Tumegombolewa kutoka ktk kila aina ya vifungo vya kishetani na kila aina ya utumwa ikiwemo magonjwa, umasikini, mauti za kichawi, kuonewa nk. Kinachohitajika kufanyika ni kila mtu kukiri na kuiamini kazi hii nzuri na takatifu ya msalaba na baada ya hapo tufanye matendo ya Imani ili tupate tunachohitaji

Kwa hiyo:

👉Sadaka/kafara/dhabihu ya ukombozi wetu ilishatolewa (kifo cha Yesu Kristo msalabani na kumwagika kwa damu yake). Ukikiri na kuiamini hii kazi, hakuna nguvu ya mchawi wala mganga wala majini yatakayokusogelea‼️

👉Kwa sababu wao humwaga damu chafu zenye hatia. Yeye (Yesu Kristo) alitukomboa kwa damu yake ya thamani kuu, takatifu isiyo na doa la dhambi yoyote. Shetani akiiona hiyo kupitia kwa mawakala wake wachawi, waganga hupigwa shoti na kamwe hawezi kukusogolea na kukudhuru!!
 
Asante sana, uko sahihi. Ndiyo maana nilisema kwamba maombi pekee hayatoshi; sikumaanisha kwamba maombi hayana umuhimu. Hakuna taifa, jamii (au hata mtu binafsi) iliyowahi kupiga hatua kwa kutegemea maombi pekee.

Mungu ametupa uwezo wa kufikiri na kutatua changamoto. Kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu, hatupaswi kumwachia Mungu pekee kufanya badala yetu, kwa kuwa kufanya hivyo kunaashiria uzembe na kukwepa wajibu.

Maisha ni muunganiko wa vipengele vya kiroho, kimwili na kiakili. Changamoto za kiroho hupambana na nguvu za kiroho; za kimwili hushughulikiwa kimwili; na zilizo katika uwezo wetu wa kiakili lazima tukabiliane nazo kwa kutumia maarifa na busara tulizopewa. Big up to TEC, na wengine wenye kusimamia haki na utu bia kuangalia mtu usoni.
 
Athari za kuabudu madhabahu za kishirikina ndio hizi kutakiwa damu za makafara. Mwisho wa makafara inabidi muhusika naye atolewe atakaposhindwa kutimiza masharti ya madhabahu hiyo ya kikafara
 
Always kafara lolote lile halina mwisho mwema
 
Tunaposema lzm kuomba Mungu watu hawaelewi!
Viongozi 99%wanatumia nguvu za giza kupata nafasi(viti)
Mpk kwenye maofisi huko.
Ashukuruwe Mungu watu wameanza kuelewa ndo maana kuna rivival kubwa sn inapita na inakuja ambayo haizuiliki....
Na hiyo rivival ndo imefanya kuwe na vita kali hivi sbb Mungu aliyeumba mbingu na nchi anataka kuweka watu wake ba shetani nae hataki kuachia!

Sbb WALIOTUTANGULIA WALIMPA ADUI NAFASI(nia ilikuwa njema ila njia iliyotumika ya miungu ndo shida) NA HILO LANGO ADUI AKALITUMIA VZR MPK SS ...SO ADUI ANAO UHALALI...tunaomba ili Mungu aondoe na kusghulika na huo uhalali

Ila Mungu atashinda shauri la Bwana ndo litasimama ipo kafara kubwa kuliko zote ndo itatushindia soon
Ezekiel 21:27 hakuna namna
 
Back
Top Bottom