Binafsi huwa na kiwango changu cha mwisho kuvumilia, kiuhalisia huwa watu wananichukulia mtu mpole sana kinachosikitisha ni hata nikikasirika huwa hawaoni hasira zangu wanaona hado nipo kwenye sura ya upole na ndo hapo huwa nawaumiza japo huwa inatokea mara chache kwa miaka mi 5 inaweza ikatokea mara moja na nikimtia mtu adabu hadi nione damu ndo huwa naacha.