Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,882
- 30,376
Njoo hapa kwenye kioski cha Mama Cathe tupate moja baridi๐ฅkama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani
Next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe
Dont "take things personal" means?.........in swahiliKuteki things personal ni ile hali ya ubinafsi uliopitiliza au kwa lugha nyimgine personal importance,,yaani unajiweka kipaumbele kuliko kitu kingine chochote kile.
Na ndio mwanzo wa maumivu yako kama hujui,yaani wewe ndio mwerevu,hukosei na unastahili kilicho bora,ndio maana mtu akikuataki kidogo basi unavurugwa na kutoa mapovu kama yote
Jifunze kutochukulia mambo personally na utakuwa na furaha siku zote,tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako,yaani wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako kwahiyo usiwape furaha hiyo
Mtu akikwambia wewe una roho mbaya hayo ni mawazo yake na maoni yake kwa jinsi anavyoamini au kulelewa si lazima yawe kweli,mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu hayo ni maoni yake na siyo yako,ni mtazamo wake juu yako,,sasa kwanini mtazamo wake au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana nae kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu
Kama mmeshawahi kunoti kuhusu mimi smtm naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani huwa najibu asante tena kwa roho safi kwasababu siteki things personal,,yaani sihitaji wewe uniambie mie ni nani kwasababu najifahamu vizuri,,sihitaji uniambie nina busara kwasababu hayo ni maoni yako kwasababu najijua mimi ni nani? Do you get my point watu wangu!
Sihitaji validation toka kwako kwasababu najua ninachofanya,,,kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako basi don't take it personal utakuja kunishukuru baadae
Na unajua kwanini huwa tunatake things personal kwasababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi,,ukiambiwa huna akili fasta unaanza kureact na kujitetea kwasababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga which is too bad! Kama unajiamini na kujifahamu vizur huna haja ya kuprove kwa mtu kuwa uko na akili mingi
Malumbano mengi ambayo yanatokea katika mijadala huku jukwaani kwasababu tuna take things personal,,,tutatukanana wee na kutoana mapovu kwa kukosa maarifa,,hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani,,sasa kama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani
Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza,,yeye ana mamlaka gani ya kuprove kwamba wewe huna akili? Ametumia kigezo gani?
Unaona kuwa ukitafakari kwa kina huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si facts. Sasa kwanini maoni ya mtu yakudhuru?
Tuje kwenye angle nyingine,mind yetu huwa sometime ina kawaida ya kujiongelesha yenyewe na ina tabia ya kusikiliza pia kwenye vyanzo vingine vya taarifa,,sasa kuna wakati inajiongelesha yenyewe inaweza kukwambia your stupid ndio maana hudumu katika mahusiano,,cha kufanya don't take things personal ipuuze tu,,,vile vile kuna sauti kadogo ndani yetu wakati fulani kanatuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu don't take things personal,,achana nako kwasababu kameshawahi kukusikia siku za nyuma ukijiambia wewe mwenyewe kuwa ni mpumbavu so kanakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu usikasikilize.
Huu ndio kweli binadamu tuko addicted na kuumizwa ndio maana siku zote huwa tunatafuta mambo ya kutuumiza,,mtu anapo kutukana ujue anatarajia nawe utamtukana si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe anataka nae atukanwe ndio maana nikasema tupo addicted na kuumizwa
Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kuto take things personal na kuwa watu wenye amani na furaha,,next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe
Ni hayo tu!
Yaan chap niko hapo mumyNjoo hapa kwenye kioski cha Mama Cathe tupate moja baridi๐ฅ
Yeah four agreements๐ Don Miguel- The Four Agreements ๐ฅ
Mimi naomba kwanza kijua maana ya don't take things personalKuteki things personal ni ile hali ya ubinafsi uliopitiliza au kwa lugha nyimgine personal importance,,yaani unajiweka kipaumbele kuliko kitu kingine chochote kile.
Na ndio mwanzo wa maumivu yako kama hujui,yaani wewe ndio mwerevu,hukosei na unastahili kilicho bora,ndio maana mtu akikuataki kidogo basi unavurugwa na kutoa mapovu kama yote
Jifunze kutochukulia mambo personally na utakuwa na furaha siku zote,tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako,yaani wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako kwahiyo usiwape furaha hiyo
Mtu akikwambia wewe una roho mbaya hayo ni mawazo yake na maoni yake kwa jinsi anavyoamini au kulelewa si lazima yawe kweli,mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu hayo ni maoni yake na siyo yako,ni mtazamo wake juu yako,,sasa kwanini mtazamo wake au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana nae kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu
Kama mmeshawahi kunoti kuhusu mimi smtm naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani huwa najibu asante tena kwa roho safi kwasababu siteki things personal,,yaani sihitaji wewe uniambie mie ni nani kwasababu najifahamu vizuri,,sihitaji uniambie nina busara kwasababu hayo ni maoni yako kwasababu najijua mimi ni nani? Do you get my point watu wangu!
Sihitaji validation toka kwako kwasababu najua ninachofanya,,,kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako basi don't take it personal utakuja kunishukuru baadae
Na unajua kwanini huwa tunatake things personal kwasababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi,,ukiambiwa huna akili fasta unaanza kureact na kujitetea kwasababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga which is too bad! Kama unajiamini na kujifahamu vizur huna haja ya kuprove kwa mtu kuwa uko na akili mingi
Malumbano mengi ambayo yanatokea katika mijadala huku jukwaani kwasababu tuna take things personal,,,tutatukanana wee na kutoana mapovu kwa kukosa maarifa,,hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani,,sasa kama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani
Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza,,yeye ana mamlaka gani ya kuprove kwamba wewe huna akili? Ametumia kigezo gani?
Unaona kuwa ukitafakari kwa kina huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si facts. Sasa kwanini maoni ya mtu yakudhuru?
Tuje kwenye angle nyingine,mind yetu huwa sometime ina kawaida ya kujiongelesha yenyewe na ina tabia ya kusikiliza pia kwenye vyanzo vingine vya taarifa,,sasa kuna wakati inajiongelesha yenyewe inaweza kukwambia your stupid ndio maana hudumu katika mahusiano,,cha kufanya don't take things personal ipuuze tu,,,vile vile kuna sauti kadogo ndani yetu wakati fulani kanatuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu don't take things personal,,achana nako kwasababu kameshawahi kukusikia siku za nyuma ukijiambia wewe mwenyewe kuwa ni mpumbavu so kanakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu usikasikilize.
Huu ndio kweli binadamu tuko addicted na kuumizwa ndio maana siku zote huwa tunatafuta mambo ya kutuumiza,,mtu anapo kutukana ujue anatarajia nawe utamtukana si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe anataka nae atukanwe ndio maana nikasema tupo addicted na kuumizwa
Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kuto take things personal na kuwa watu wenye amani na furaha,,next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe
Ni hayo tu!
Hapana huo ni ugonjwaKwa hiyo Etugrul Bey Ni kama unanishauri niache kuchukulia madhara ya punyeto personal?
Don't take things personalMimi naomba kwanza kijua maana ya don't take things personal
Mbona Kama Kuna shida mahali Kati ya headline na maelezo.
Unataka kuthibitisha km kweli hachukii ๐น๐นDont "take things personal" means?.........in swahili
Sasa unauacha mkoa wa ndoa, karibu mkoa wa KATAA NDOA ๐น๐น๐นKwa hiyo Etugrul Bey Ni kama unanishauri niache kuchukulia madhara ya punyeto personal?
Lucha Umetisha Sana,eti mpaka uone damu ndo uache๐Binafsi huwa na kiwango changu cha mwisho kuvumilia, kiuhalisia huwa watu wananichukulia mtu mpole sana kinachosikitisha ni hata nikikasirika huwa hawaoni hasira zangu wanaona hado nipo kwenye sura ya upole na ndo hapo huwa nawaumiza japo huwa inatokea mara chache kwa miaka mi 5 inaweza ikatokea mara moja na nikimtia mtu adabu hadi nione damu ndo huwa naacha.
Ni point za muhumu kujikinga na magonjwa yasiyoambukizaKuteki things personal ni ile hali ya ubinafsi uliopitiliza au kwa lugha nyimgine personal importance,,yaani unajiweka kipaumbele kuliko kitu kingine chochote kile.
Na ndio mwanzo wa maumivu yako kama hujui,yaani wewe ndio mwerevu,hukosei na unastahili kilicho bora,ndio maana mtu akikuataki kidogo basi unavurugwa na kutoa mapovu kama yote
Jifunze kutochukulia mambo personally na utakuwa na furaha siku zote,tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako,yaani wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako kwahiyo usiwape furaha hiyo
Mtu akikwambia wewe una roho mbaya hayo ni mawazo yake na maoni yake kwa jinsi anavyoamini au kulelewa si lazima yawe kweli,mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu hayo ni maoni yake na siyo yako,ni mtazamo wake juu yako,,sasa kwanini mtazamo wake au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana nae kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu
Kama mmeshawahi kunoti kuhusu mimi smtm naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani huwa najibu asante tena kwa roho safi kwasababu siteki things personal,,yaani sihitaji wewe uniambie mie ni nani kwasababu najifahamu vizuri,,sihitaji uniambie nina busara kwasababu hayo ni maoni yako kwasababu najijua mimi ni nani? Do you get my point watu wangu!
Sihitaji validation toka kwako kwasababu najua ninachofanya,,,kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako basi don't take it personal utakuja kunishukuru baadae
Na unajua kwanini huwa tunatake things personal kwasababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi,,ukiambiwa huna akili fasta unaanza kureact na kujitetea kwasababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga which is too bad! Kama unajiamini na kujifahamu vizur huna haja ya kuprove kwa mtu kuwa uko na akili mingi
Malumbano mengi ambayo yanatokea katika mijadala huku jukwaani kwasababu tuna take things personal,,,tutatukanana wee na kutoana mapovu kwa kukosa maarifa,,hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani,,sasa kama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani
Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza,,yeye ana mamlaka gani ya kuprove kwamba wewe huna akili? Ametumia kigezo gani?
Unaona kuwa ukitafakari kwa kina huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si facts. Sasa kwanini maoni ya mtu yakudhuru?
Tuje kwenye angle nyingine,mind yetu huwa sometime ina kawaida ya kujiongelesha yenyewe na ina tabia ya kusikiliza pia kwenye vyanzo vingine vya taarifa,,sasa kuna wakati inajiongelesha yenyewe inaweza kukwambia your stupid ndio maana hudumu katika mahusiano,,cha kufanya don't take things personal ipuuze tu,,,vile vile kuna sauti kadogo ndani yetu wakati fulani kanatuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu don't take things personal,,achana nako kwasababu kameshawahi kukusikia siku za nyuma ukijiambia wewe mwenyewe kuwa ni mpumbavu so kanakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu usikasikilize.
Huu ndio kweli binadamu tuko addicted na kuumizwa ndio maana siku zote huwa tunatafuta mambo ya kutuumiza,,mtu anapo kutukana ujue anatarajia nawe utamtukana si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe anataka nae atukanwe ndio maana nikasema tupo addicted na kuumizwa
Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kuto take things personal na kuwa watu wenye amani na furaha,,next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe
Ni hayo tu!
Bt you've already said we shouldn't take anything personal irregardless of their nature.Hapana huo ni ugonjwa
I was just asking for a friend, I don't do masterbation ๐Sasa unauacha mkoa wa ndoa, karibu mkoa wa KATAA NDOA ๐น๐น๐น
Slow slow mbele kuna mteremko mkali ๐น๐น๐นBt you've already said we shouldn't take anything personal irregardless of their nature.
I was just asking for a friend, I don't do masterbation ๐