we acha tu tunajua kujishughulisha kweli bado hujaenda kufanya udobi kwake tehe tehe tehe tehe
Kuna Mpwa wangu mmoja huwa napenda sana kusoma signature yake, nimesahau ni nani hasa kama sio Heaven on Earth basi ni ALAydfurahia , ok ok in short ni kwamba sjui kama anakiishi kila alichokiandika, anasema, nikiiona hio signature nitaikopi na kuiweka hapa, alishawahi kunitumia PM ngoja nicheki PM pia.
Kumpenda mtu nusu ni impossible nafikiri ushauri mzuri kwa kina dada wasikubali kufanyishwa ngono bila ya uhusiano ambao ni official granted. Huwa inauma sana ukiwaza ulivyompa mtu hadi mwili wako afu ana ku dump. Miili ya wanawake inapaswa kutunzwa na kuheshimiwa sana kama unataka kufaidi ulimwengu wa mapenzi otherwise mtatufungulia uzi hapa kila siku za kulalamika.
50% zinatosha hahahahahahhahaha
Umeona eeh..! yaani busy, unafua, safisha nyumba sijui kupika mwisho uungue na mafuta, jamani mapenzi haya... hapo bado hujaenda shopping...mara boxer, mara saa, mara mashati ili mradi tu kuonekana umekufa umeoza
umeona eeh tena hilo ndilo janga lililopo anatoa ili asiachwe,kumbe angekuwa anakupenda kweli na kukujali wala asingekuomba kitu kama hicho
siioni bhana, nimesahau sijui ni nani vile lakini hua naipenda sana signature! Anasema You might noe be her first, Nor her second.........sijui na nini tena vile hiki kikristo kigumu, ukiona mtu mwenye signature kama hio ndio huyo huyonasubiri...........
Yani mim bf wng aliniomba voda nkamwambia ucjali ila nikuanze ww kwnz kukugegeda vd na peni tu alf ndo uweke mtarimbo wk kwng.mcshxxx mbn alikoma na ndo tukaclose chapter cku hyo khaaa inahusu ...
siioni bhana, nimesahau sijui ni nani vile lakini hua naipenda sana signature! Anasema You might noe be her first, Nor her second.........sijui na nini tena vile hiki kikristo kigumu, ukiona mtu mwenye signature kama hio ndio huyo huyo
nimeikumbuka ngoja nitafute comments zake za zamani
You may not be her LAST,her FIRST,or her ONLY,she loved before she may love again
IF she love you now what else matters!!!!!!!!!
Hahahaahahaaha very correct!! Hakuna haja ya mtu kujidanganya kwa kusema eti nampenda sana na siwezi kuishi Bila yeye!!! Thanks
Hivi hii signature ni ya nani kumbe?
Kama sikosei ni ya Heaven on Earth