Don't take love too serious


ni kweli kuna kusahau but we have to learn from our past
 
moyo wangu unapenda kama nimekanyga kaa la moto .... kupenda mazima ni kuomba kifo kabla ya mda mbeep si unaingia kama umezaliwa nae....
 

well said
 

sawa but we should have some limits kwenye boy friend/gal friend relationships mtu anakuwa committed kupita kiasi utasema wameoana
 
mmh sidhani unakuta mtu anakuwa hadi mtumwa,kila anachoombwa anatoa tu ili kumuim press mwanaume

had voda wanatoa yani kaz ni kwako na bd anaambulia mtoso..
 
Nimechekaje hapo kwenye bold lakini ni kweli, tunajitoaga sana unakuta mtu anakusanifu tu

we acha tu tunajua kujishughulisha kweli bado hujaenda kufanya udobi kwake tehe tehe tehe tehe
 
Reactions: ram
and if it is a true love as u said kwanini inafika muda it doesnt exits any more

Hivi mapenz ndo nin kwanza??wanawezaje kumpenda X % alf mktosana unampata Y nae unampenda % hd unamsahau x mara mda kdg Y akizngua nae unatupa kule anazama na Z nae unampenda % alf useme ww ukipenda unapenda truely??
 


ungekuwa karibu ningekupa azam cola aisee umeongea mijipoint kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…