Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama?
Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.
Na baadhi ya wadada hapa pia wamekuwa wanakuja na thread za kulalamika kuumizwa nikaona si vibaya nikiwakumbusha this slogan.
Unakuta mdada anapenda vibaya in a way that anajiaminisha 100% percent kuwa huyo aliyempata ni wa kufa na kuzikana, anamkabidhi kila kitu moyo, akili, nafsi, figo, bandama hadi na ini.
Ni hapo sasa mambo yasiwe kama alivyotegemea ndio yanatokea haya ya bi dada anatamani hata kuitoa roho yake.
Jamani tupendeni kiasi tu in a way hata mambo yaki turn up side down unabaki normal.
Ni hayo tu
Wacha watu wapendane, hay mengine ni ajali kazini tu
mapenzi hayana kanuni unajikuta umedumbukiamo mzima mzima.......
io ndo ajali kkazini sasa hahahahahahahahaha mwee mambo gani yakutegemeo nguzo, siku nguzo ikindolewa na mgomba nao chali hahahah not real kwa kwel.i
io ndo ajali kkazini sasa hau
hahahaha waambie na wapangaji wengineHahahahah kweli Baba mwenye nyumba kasema
Tatizo mabinti wa sikuhizi wanajikabidhi kwa jamaa kirihi na kimwili unampa uamaa kila kitu hadi ile kitu tigo hafu kila wakati unataka akuone kama anaishi mwenyewe utataka uhamie kabisa kwake, ukichokwa unalalamika na kutamani ufe wakati uliyataka mwenyewe.
Ni ngumu kujua asilimia ya mapenzi kwa mtu wakati mapenzi yakiwa on utajua asilimia vyema akiondoka so ni ngumu kusema nimpende kidogo tu
Umesema nlichokiwaza dk chache zilizopita,na mie mdg wangu hajalala ucku anasingizia kichwa ktk kuchunguza nkagundua boyfrnd wake hajapatikana cku nzima,nkacheka nkajisemea moyon japo angejua mapnz ni karata tatu asingejiendekeza
hahaha asnte, ya kwako inapendeza......haya bwana....lakini picha yako inanitisha jamani