Don't give player a reason

tatizo sio hela tatizo ni wife material

Ngoja nikuambie tatizo ni nini...FAST FOODS!!!

Tunataka kila kitu haraka haraka...umemuona binti leo, amekuvutia kwa macho ya nje umeshamtongoza...halafu unataka leo leo afanye yale utarajiayo! Wife material....

Mimi nilifundishwa hivi; umemuona binti, umevutiwa naye...tafuta kufahamiana naye zaidi kama marafiki..utafika wakati utamfahamu tabia yake na kuwa na uhakika kuwa huyu ndiye...muelezo upendo wako kwake...ingieni kwenye mahusiano rasmi..nakuhakikishia hutakaa ulete sredi kama hii asilani!
 

Mhhhhhh
 
Mkuu umegonga palepale,mara ooh engagement mbele ya best zng nataka,halafu bby nunua kitu fulani kama fulani,hawa watu!!
 
Basi sawa bestiiii, mimi nipo

Hahahaa best mimi kabla sijawa active sana jf nlikuwa nimeshakutana na kubwa moja haswaa baada ya hapo hapo hakuna jambo lingine linaweza kunitikisa....na huu mtazamo ninao tangu hapo yaponitokea ya kunitokea..... Kwa hiyo amini tu kwamba huu mtazamo haujaanza siku za karibuni ni wa siku nyingi labda ulikuwa hujabahatika tu kuusikia kutoka kwangu
 

Hivi kile itufe cha LIKE hakipo tena hapa JF?
Nakupa li LIKE likubwa mkuu mwekundu
 
Last edited by a moderator:
mwekundu mule mule, maana wengine hawajiongezi kabisa.....
m
 
Last edited by a moderator:
basi kama na wewe hujaoa wa sifa yako bado hajatokea ,KWELI INATISHA INASIKITISHA PIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…