Don't give player a reason

Everybody is so damn defensive. Loosen up, and enjoy life y'all. Freak it all the negativities.
 

Hahaha majibu yako siku hizi yanaashiria kitu.
 
There are no good reasons for infidelity, only excuses.
 
Hivi player ni lazima awe hajaoa? Hakuna player ambaye tayari yuko ndoani?
 
kumbe hado nijifulishe ndo napewa hela eeeeh si bora tu niwe nafua mtaani ntalipwa hela yangu bila kutoa papuchi, hapontapewa hela yakusuka ila ntafua, ntanyooosha napapuchi itatwangwa bila mpangilio
 
Mkuu sasa unajua unachohitaji kutoka kwa mwanamke na nionavyo mim mwanamke hana kosa,kosa unalowewe,kama ulimzoeza kukupelekea nguo kwa dobi harafu leo ulalamike hapo haijakaa vzr
Dawa ya huo ni kumwambia ukweli na huu ndio mda wake maana uchumba huwa ni kurekebishana na kushahihishana na kusomana tabia
 
Teh teh teh!! Ajifulishe, ajipikilishe,afanye usafi!! Daaah kwani umemuoa huyo? Muoe kwanza ndio atafanya hayo mengine, maana kufanya hayo pia sio dawa ya kufanya aolewe, kipochi si unapewa? Hayo mengine hayamuhusu jamani.

Afterall player daznt need reasons as a player ll always be a player.
 
Ndege wafananao huruka pamoja, wakichokana hutafutiana sababu za kupotezeana.

Kama unampenda kweli utamuweka kwenye msitari.
 
Imenikumbusha niliachwa sababu hizo hizo tajwa hapo juu
 
Good morning!

Leo nimeamka na upako...

mwekundu unakosea. Sitaki demu/girlfriend wa kuja kunifulia nguo na kunipangia nguo...sikufundishwa hivyo jandoni!

Pili, Unapaswa kufahamu ulivyolelewa wewe na alivyolelewa yeye ni TOFAUTI.

Tatu, ukitaka kuwa na amani moyoni...usitoe kuliko uwezo wako, usitegemee kupita kiasi, usitoe ukiwa na matarajio ya kurudishiwa!

Mwisho, wote wa kiume na wa kike...niwatakie siku njema!

Love is a good thing!!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmh me nahisi unipe hela evaluation uje unifanyie baada ya kunipa hela ... nipe hela tu.... japo umeongea point
 


tatizo sio hela tatizo ni wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…