M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Sep 12, 2014 #21 Huyo aliyekuwa anaendesha kigari angali kalewa. daviey69 said: Nani kakupa smart phone uchezee? Click to expand...
Huyo aliyekuwa anaendesha kigari angali kalewa. daviey69 said: Nani kakupa smart phone uchezee? Click to expand...
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,127 Sep 12, 2014 #22 charminglady said: View attachment 184325 Good evening! Click to expand... Na kweli hii slogan huwa haifafanui, what some one is not supposed to drive while expecting to drive and what is to be driven !!!
charminglady said: View attachment 184325 Good evening! Click to expand... Na kweli hii slogan huwa haifafanui, what some one is not supposed to drive while expecting to drive and what is to be driven !!!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Sep 12, 2014 Thread starter #23 Excel said: sis aliyekuita charminglady ni nani? Ni pm nikupe mazaga zaga ya Freemason! lol... Click to expand... Nilijiita mwenyewe, ndivyo nilivyo. Heee mbona unanikurupusha roho? Mazaga ya FM tena??
Excel said: sis aliyekuita charminglady ni nani? Ni pm nikupe mazaga zaga ya Freemason! lol... Click to expand... Nilijiita mwenyewe, ndivyo nilivyo. Heee mbona unanikurupusha roho? Mazaga ya FM tena??
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Sep 12, 2014 #24 dereva chali
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Sep 12, 2014 Thread starter #25 Katavi said: ndio nilidhani jamaa wameharibu tena maana wiki hii ni kama wamedhamiria. Click to expand... Mkuu huu mwezi ni mabalaa square, mpaka uishe tutakuwa tushalia machozi ya damu!
Katavi said: ndio nilidhani jamaa wameharibu tena maana wiki hii ni kama wamedhamiria. Click to expand... Mkuu huu mwezi ni mabalaa square, mpaka uishe tutakuwa tushalia machozi ya damu!