Kwa wenzetu hii ni sehemu ya ibada tena muhimu sana.
maana yake nini?
Mbona sioni Juisi au maji ya kunywa, mfukoni hakosi NDIZI/KACHUMBARI huwa watembea navyo siku kama hizi
Mbona sioni Juisi au maji ya kunywa, mfukoni hakosi NDIZI/KACHUMBARI huwa watembea navyo siku kama hizi
Bila kusahau pilipili mbuzi!!
Y all this food atamaliza kweli!? mkuu nijibu nimeuliza y sio why......
Huyu atakuwa goigoi tu ....hata ubongo