Dongobesh..!

Yap kaka ni masquaroda. Nimeish dongobesh sana pale uwanja wa mpira jran na ktuo cha polisi..nimewafaid sana kwa macho mabinti wa pale dongobesh na vijiji vya jran kama gidim, tumati na endoji. Nakumbuka pia mabasi maarufu ya pale kama gari za Bayo, Mjomba na Bashnet coach.
 
Haaaaah we mshana jr. Ulikuwa unatafuta nini kwenye himaya yangu? ni wilaya ya Hanang bana, Katesh ni makao makuu ya wilaya. Karibu kwetu, umeona videsiii ?

Saitaaa Gwangambo...!!!! Naimishi Mbulu 4 real...!
 
Last edited by a moderator:

We nitakuwa nakufahamu sema hatufahamiani kwa vile tunatumia id fake humu
 
Hayo maeneo nilifaidi Sana vitoto vya tumati,tlawi,dongobeshi pale sec,halafu vitoto hata huhongi
 
Mkuu kutamanishana huko na leo sababato
 
Mkuu hapa watoto bado tupo nao, hizi zipileke kule tunapokutana hatusemani!

Huwezi kuamini MZIMU sijawahi kufika kule hivi kunafikwaje? Serious asking
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli kuwa unaweza kujenga nyumba kuuubwaaa halafu baadhi ya vyumba visiwe na kazi...
Cc Mr Rocky utafiti mshana @m011 @earhmover
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…