Dongo kwa wazee. !!!

Dongo kwa wazee. !!!

7f07d02bef402c7d4c75f049eca8e9dc.jpg
 
Dah... tatizo akili zenu fupi mnashindwa kutofautisha kati ya uzee na ujana. Uzee/ujana siyo umri ni namna ya unavyofikiri na msaada wako katika jamii. Unaweza kuwa mzee wa miaka 15 au kijana wa miaka 30. Mnalala huku mkilalamika sana badala ya kutafuta fursa hamjui mida inazidi kwenda na soon mtachoka kimwili na kiakili. Baadaye mtaanza kujiita vijana wa zamani huku mkiishi kwa nguvu ya viakra. Amkeni bana time inasonga [emoji4]
 
Bila shaka ww ni kibabu
I'm sorry
 
Dah.. kapukuz mnajichanganya sana....msichokijua ni kwamba tofauti ya kijana na mzee ni kiasi cha UJINGA mtu alichonacho na si umri. Kuna wazee wenye miaka 15 na vijana wenye miaka 50 🙂
 
Umegeuza viatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umegeuza viatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah... unaweza kuweka sahani ya asali wakaja nyuki wachache tu, sasa weka sahani ya mav i uone utakavyojaza nzi 🙂
 
Duh! Lakin wazee washamalizana na majukumu kwa kiasi kikubwa so hawaoni shida sana kuhonga na hapo ndipo wanapotuibia madem zetu
 
Back
Top Bottom