Dongo kwa wazee. !!!

Dongo kwa wazee. !!!

Km cha mjusi
8d45ddf8d888d307ad392551eac29c62.jpg
 
Tatizo kubwa linalowakabili vijana ni kujiona wao ni wajanja na wanaakili sana kuliko wazee. Hao wazee unaowaona maboya leo walikuwa na wao bonge la wajanja enzi zao, ndio maana wanamilki hivyo walivyo navyo
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mimi simo
Rudi kijana wazee wapo Jukwaa la Polifix wanajadili Umeya wa Joto City....huku hawawezi kutucharaza fimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
 
Rudi kijana wazee wapo Jukwaa la Polifix wanajadili Umeya wa Joto City....huku hawawezi kutucharaza fimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
Na sisi twende huko huko kwenye siasa
 
Wengine sio wazee kabisa ila maisha yamewagonga tu kiroho mbaya.
 
Back
Top Bottom