Donge nono kutolewa: Nimeibiwa

Donge nono kutolewa: Nimeibiwa

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,548
Reaction score
2,180
Usiku huu wapendwa mida ya saa nne Maeneo ya Mbez Makonde Jirani na Ninapoishi nimevunjiwa kioo cha Gari yangu Na wezi wamefanikiwa kuondoka na Bag Langu lenye Laptop aina ya MAC BOOK PRO Core i 7 ambayo ndio huwa naitumia katika kazi zangu za Editing lakni pia Nimeibiwa Camera Yangu aina ya Canon 550 D au jina Lingine t2i.

Pia Ndani Ya Bag kulikuwa Na External Hard Disk Mbili Aina Ya Transend Zenye Ukubwa Wa 1TB kila Moja Na Pesa Taslim Milion Tatu.

Kwa Ambae atafanikiwa Kusikia vitu hivi vinauzwa Please Naomben mnisaidie kunipa taarifa kwa namba 0712343938.

Nitashukuru Kwa taarfa yoyote nitakayopokea Pia Nipo Tayari kumlinda Yoyote atakayefanikisha Kupatikana kwa Vitu hvyo.

Hasa hasa Computer na External Hard Disk Maana Ndani yake Ina Project Zangu zote na Kuna nyingiine bado Zilikuwa hazijakabidhiwa kwa wenye Nazo.

NAOMBENI MSAADA KUPOST KWENYE Mitandao Ya Kijamii na Kwenye Magroup ya Whatsap.

--------------------------------

Huyu ni jamaa yangu anaitwa Abdallah. Nawaomba msaada wenu.

Pangu Pakavu.
 
Faiza ni kweli ila jamaa anasema alikuwa anaingia just kumcheki mshikaji waondoke it was within fraction of a second.
 
Da pole mkuu kwa lilokuta mungu atakuwezesha kuvipata kupitia jf humu
 
Awatafute masela wa eneo husika, azungumze nao kwa utulivu na kiurafiki zaidi, awape hela kidogo, awahakikishie usalama wao kisha awaagize kwamba anaihitaji laptop yake ainunue toka kwa hao wezi, atangaze na dau kabisaaaa.

Hivyo ndivyo anaweza ku recover project zake. Akienda kipolisi polisi ni bora ajiandae kisaikolojia kuandika maumivu.
 
Pole sana...lakini haya ya kuvunjiwa magari yanatokea kila siku kwanini hatujirekenbishi? Gari imejaa vitu vya thamani hivyo unawezaje kuiacha bila ulinzi na ukawa na amani?
 
Pole sana mkuu

Da pole mkuu kwa lilokuta mungu atakuwezesha kuvipata kupitia jf humu

Awatafute masela wa eneo husika, azungumze nao kwa utulivu na kiurafiki zaidi, awape hela kidogo, awahakikishie usalama wao kisha awaagize kwamba anaihitaji laptop yake ainunue toka kwa hao wezi, atangaze na dau kabisaaaa.

Hivyo ndivyo anaweza ku recover project zake. Akienda kipolisi polisi ni bora ajiandae kisaikolojia kuandika maumivu.

Thanx. And JOGI I sincerely agree with your advice.
 
pole sana...lakini haya ya kuvunjiwa magari yanatokea kila siku kwanini hatujirekenbishi? gari imejaa vitu vya thamani hivyo unawezaje kuiacha bila ulinzi na ukawa na amani?

Ajali haina kinga kaka, msaada tu jamaa apate vitu vyake, japo nadhani zile mil 3 hatazihitaji zirudi.
 
Please Naomben mnisaidie kunipa taarfa kwa namba 0712343938. Nitashukuru Kwa taarfa yoyote nitakayopokea Pia Nipo Tayari kumlinda Yoyote atakayefanikisha Kupatikana kwa Vitu hvyo.

Hapo kwenye blue bold kama sijaelewa au! yaani mtu ameshindwa kujilinda hadi anaibiwa halafu anaahidi kumlinda yeyote atakayefanikisha kuvipata vifaa vyake!
 
Pole sana ila ushauri wangu ni kuanza na masela wa hapo tukio lilipotokea kama ulivyoshuriwa hapo juu ,suala la polisi lije baadae ila cha kuongezea wakati wa kuongea nao uwaoneshe kuwa shida yako sanasana siyo pesa ila vifaa vilivyochukuliwa
 
kama kweli uko siriaz na vitu vyako nenda mtaa wa bunge ukivuka flats za nssf kwa mbele upande wa kulia kuna duka la mangi jana kuna mtu alikua anauza external naamini zitakua ni hizo, ukienda na polisi umeliwa!

Poa kaka niko njiani naenda. Nikikwama ntakujukisha
 
Nauga hoja mkono kwamba Tafuta masela wa eneo husika.
Hao watu ni wa eneo usika,hakuna mtu anaweza ku take risk aibe kwa style hiyo akitokea mbali.

Mfano ni Kariakoo kule Bondeni,mtu akiibiwa cheni basi kuna watu maalim ukiwaona tu basi wanajua nani kapiga,maana vibaka wanatabia ya kupeana michongo.
 
ESET Smart Security

The Anti-Theft Audit reported a number of problems with my test systems. One was set to log in automatically, without entering a password. The main account on another didn't even have a password. And neither had ESET's Phantom Account enabled.

The Phantom Account is a special user account created to help ESET track your lost or stolen computer. To the thief, it looks like any user account, but while active it periodically uploads screenshots and webcam photos to the online anti-theft console. It also reports the computer's location using WiFi triangulation.

When you report your computer stolen, ESET reboots into the Phantom Account and hides all other user accounts. From the online console, you can view the uploaded screenshots and webcam photos, or check the device's location. If it seems your computer may be merely lost, not stolen, you can enable a message on the desktop informing the finder how to contact you and arrange for the device's return.

Anti-theft is a common feature in mobile security suites, but rarely integrated into suites aimed at Windows PCs and laptops. It's something I'd like to see more of. Anti-theft is the reason I gave ESET a 4 star rating for privacy protection.

Low Impact on System Resources
ESET manages to do all the work of a full-featured security suite without putting a drain on system performance. Its impact in each of my performance tests was well below the current average.

Averaging the results of booting a test system 100 times with ESET installed and with no suite, I found it took just 7 percent longer to boot. That's hardly noticeable. Repeated runs of a script that times how long it takes to fully load 100 websites didn't take measurably longer under ESET's protection. Webroot and a few others also had no measurable effect on the browsing test.

Another of my test scripts moves and copies a huge collection of huge files between drives, to evaluate a suite's effect on common file-management operations. This script took 9 percent longer with ESET watching; 22 percent is the average. A script that zips and unzips that same collection of files took 11 percent longer. And, as noted earlier, ESET's spam filter hardly slowed email downloading at all.

In a performance test by AV-Comparatives last year, the previous edition of ESET Smart Security was one of a dozen products rated ADVANCED+, the highest rating. You're just not going to see a system slowed by ESET.

Much to Like
ESET Smart Security 6 is a complete security suite, with all the expected features plus a bonus anti-theft component. Its individual components consistently earned good scores in my tests and on independent lab tests. And it won't put a drag on your system performance.
 
Nilishawahi kuibiwa bag lina laptop na external hard drive na mbaya zaidi sikufanya backup ya vitu vilivyo kwenye computer.
Siku nyingine nikawa naficha vitu kwenye buti au chini ya seat.
 
Nilishawahi kuibiwa bag lina laptop na external hard drive na mbaya zaidi sikufanya backup ya vitu vilivyo kwenye computer.
Siku nyingine nikawa naficha vitu kwenye buti au chini ya seat.

Kuwa makini siku hizi jamaa wana detectors nafikiri wanasearch hadi kwenye buti
 
andika umeumia .pole sana kwa mitihani mkuu
 
Back
Top Bottom