Unajua kusifia dada yangu!Nina sifa zao nyingi kwanini moja tu?
Wanavutia kimuonekano
Wanajua kuuishi uanaume
Wako vizuri upande ule wa mahabani(romantic)
Wanono sana kwa bed,
Wako na akili nyingi
Nadhani hata Adam alikuwa black sio white Kama tunavyoaminishwa,
Nawazimia kinoma noma wanaume weusi mfano kale kakijana kanaitwa baraka da prince mwanaume akiwa vile kwangu nafarijika hata akinitongoza namsikiliza kwa makini na nitamkataa kwa adabu
Inawezekana ukawa sahihi kulingana na unavyojithaminisha na thamani ya utu wako........Mwanaume akisha kuwa na pesa basi mengine ni bonus
Wananukia kiume zaidi,hasa akipuliza na unyunyu,Wakaka weusi Mbinguni mtakaa V.I.PPoleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi
Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...
NOTE: Comment ziwe fupifupi
Kwa hakika mnazo zaidi ya hizo, Niko na mahaba sana na nyie watu napendekeza mbinguni muandaliwe sehemu yenu peke yenu, oooh black men😍😍😍Unajua kusifia dada yangu!
Wacha weee.Nina sifa zao nyingi kwanini moja tu?
Wanavutia kimuonekano
Wanajua kuuishi uanaume
Wako vizuri upande ule wa mahabani(romantic)
Wanono sana kwa bed,
Wako na akili nyingi
Nadhani hata Adam alikuwa black sio white Kama tunavyoaminishwa,
Nawazimia kinoma noma wanaume weusi mfano kale kakijana kanaitwa baraka da prince mwanaume akiwa vile kwangu nafarijika hata akinitongoza namsikiliza kwa makini na nitamkataa kwa adabu
Mkuu heshima kwako,hujawahi kua na Comment ya hovyo hapa JF,umeandika jambo zito sana na lenye kufikirisha ila lenye ukweli halisi,sidhani kama mleta mada atakuelewa.Kama hali yako ya kimapokeo ya uhalisia wa maumbile yako inaathiriwa na maoni au mitazamo ya watu wengine basi una safari ndefu kuelekea kwenye furaha ya kweli........
siku yangu ishaharibika kubabekkWana joto sana na ni watamu.
Sio siku ni maisha yako yote yameshaharibika, ndo maana una chachawa hivyooh, poleeeeeeh kwa kuteseka.siku yangu ishaharibika kubabekk
Weusi lile kundi la muziki au ?Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi
Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...
NOTE: Comment ziwe fupifupi
Nina sifa zao nyingi kwanini moja tu?
Wanavutia kimuonekano
Wanajua kuuishi uanaume
Wako vizuri upande ule wa mahabani(romantic)
Wanono sana kwa bed,
Wako na akili nyingi
Nadhani hata Adam alikuwa black sio white Kama tunavyoaminishwa,
Nawazimia kinoma noma wanaume weusi mfano kale kakijana kanaitwa baraka da prince mwanaume akiwa vile kwangu nafarijika hata akinitongoza namsikiliza kwa makini na nitamkataa kwa adabu
thankuWananukia kiume zaidi,hasa akipuliza na unyunyu,Wakaka weusi Mbinguni mtakaa V.I.P
Kwasababu sio mweusi, kwa hizo sifa lazima wivu ukutese, kunywa maji utaponaPumba tupu
Kwasababu sio mweusi, kwa hizo sifa lazima wivu ukutese, kunywa maji utapona
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwasababu sio mweusi, kwa hizo sifa lazima wivu ukutese, kunywa maji utapona
Nadhani sihusiki na maumivu yanayoletwa na tafsiri yako kwenye comment zanguAcha dharau dada