Dondosha Neno Hapa

Dondosha Neno Hapa

Makabidbiano ya pesa namna hii ndio unakuta mtu kakabwa huko njiani hela inarudi kwa mwenyewe na mali kishatoa

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Yeboyebo chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Chezea wazee wa kuchapa watu mikono! Utaumia.
 
Makabidbiano ya pesa namna hii ndio unakuta mtu kakabwa huko njiani hela inarudi kwa mwenyewe na mali kishatoa

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
yaani hata kama ni kuuza gazeti imepitiliza, inaonekana haina tafakuri ya security
 
Makabidbiano ya pesa namna hii ndio unakuta mtu kakabwa huko njiani hela inarudi kwa mwenyewe na mali kishatoa

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
mbaya zaidi wote hao wanakodoa tu , mwenye zake hayupo hapo labda kaka ataambulia cha juu
 
Hii inatokea nchi gani ambayo haina benki wala hundi?
 
chukua hizi fedha hakikisha mgombea wetu anapita bila kupingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom