KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Preta huwa ninahisia kali za kukupenda na huwa zinarudishwa nyuma na ushirikiano wako na mshana kutoa mambo yenu ya kichawi...!Au labda wapo kwenye scenic flight......
Cc marejesho......
Jamani jamani kitendo cha Mhando kilizua gumzo kipindi hicho nakumbuka hadi waumini wakajipa cheo cha Uungu na kuanza kumhukumuAhah! kumbe msabato mwenzangu mkuu! unamkumbuka pastor mhando?! Kwa ss anasali mbezi kama muumini wa kawaida maana aliasi sasa amerudi au na fitz henry jangwani 1999-2002?!
Uko sahihi kabisa mkuu, sasa hv pastor mhando ni muumini wa kawaida pale mbezi sda. alijikweza huyu akafungua mpaka kanisa lake akiapa kuwa kila muumini wake lazima awe tajiri alijikweza kutokana na kipawa chake cha uponyaji na mafundisho yake yaliyogusa wengi. bible inasema, ajikwezae atashushwa! ajishushae atakwezwa!Jamani jamani kitendo cha Mhando kilizua gumzo kipindi hicho nakumbuka hadi waumini wakajipa cheo cha Uungu na kuanza kumhukumukhaa. Tabia ya kubagua dhambi watu wengi wana hili tatizo.......
Tag me.....au ndo ile ya ndafu…?Ipo hiyo mbona? Tena ya mwaka jana mwanzoni ila niliitwa majina yote mabaya kwa wafia imani zao...nikiipata takutag
Na pia una umiza mgongoHii tulishaijadili ule ni usafiri wa chini sana na wa masafa ya karibu ubungo buguruni.fisi ni usafiri wa ardhini
Ndio hivyo kiburi huponza wengi, ila kiukweli Mhando alikua na kipawa, alikua ana ushawishi, mahubiri yake yalikua mazurii unamuelewa fresh. Alas, alipokuja kujichanganya sijui alipatwa na kitu gani yarabii. Sisi tujifunze kupitia Mhando, si kwa nyanja ya dini pekee bali kwa kila mazingira na hali tulizomo.Uko sahihi kabisa mkuu, sasa hv pastor mhando ni muumini wa kawaida pale mbezi sda. alijikweza huyu akafungua mpaka kanisa lake akiapa kuwa kila muumini wake lazima awe tajiri alijikweza kutokana na kipawa chake cha uponyaji na mafundisho yake yaliyogusa wengi. bible inasema, ajikwezae atashushwa! ajishushae atakwezwa!
KabisaaMshana heshima yako mkuu
bigonzo kwanza mimi sio dogo pili Mimi sijifanyi kujua mambo ya uchawi nayajua kindakindaki na nime ya practice to the fullest.....wewe unaongelea hapo njombe pa kufika na fisi...mimi nimefika mpaka kuzimu , Nafahamu mpaka ushetani na zaidi ya hapo...we dogo unajifanya unajua mambo ya uchawi lakini hamna kitu,,tuulize sisi tunaoishi huku njombe vijijini
Shikamoooo mshana jr kama ushafika na kuzimubigonzo kwanza mimi sio dogo pili Mimi sijifanyi kujua mambo ya uchawi nayajua kindakindaki na nime ya practice to the fullest.....wewe unaongelea hapo njombe pa kufika na fisi...mimi nimefika mpaka kuzimu , Nafahamu mpaka ushetani na zaidi ya hapo...
Ok japo ni ya kitambo tajitahidi niipate