Dondoo za kupaa kichawi

yani limwili langu huu nipande kifagio duh ... hivi kwa nini wachawi wasitengeneze ndege yao ili wapige pesa ?

Ukiuangalia huo ufagio kwa angle hiyo hutaelewa......wewe jua huwa unabadilika unakuwa kama ndege aina ya Concorde.......infwakti Concorde ilitokea kwenye fyagio........
 
Bro mshana ulisema uchE
 
dah nimeipenda hii, lakin pale umeandika "helicopta haziwez pita kwnye anga la boeing" ndo wapi huko?
 
Ipo hiyo mbona? Tena ya mwaka jana mwanzoni ila niliitwa majina yote mabaya kwa wafia imani zao...nikiipata takutag
yap itafute hiyo mkuu then ntaomba unitag ukiipata, nahitaji kusoma mambo mbalimbali kuhusu dunia na kuyaelewa.
 
Naona ka usafiri kana stendi kabisa ya kutulia.

Nimekumbuka zile baiskeli za Avon na stendi zake enzi hizo
 
dah nimeipenda hii, lakin pale umeandika "helicopta haziwez pita kwnye anga la boeing" ndo wapi huko?

Yaani ni.....Boeing inaruka futi labda elfu 32......helcofta inaruka futi mia na 50......huoni tofauti hapo......?....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…