Kuna wabaya kweli tena wenye madhara makubwa kwako huwaogopi kwakuwa hawajionyeshi...lakini jichunge kuna kitu utagundua kisha utakuwa rafiki yangu mkubwaHuyu jamaa siwezi kukaa nae hata nusu saa kupiga story. Dah...mambo ya kishirikina na kichawi kwa kweli yanatisha!!
Ukiifahamu nguvu ya Kimungu hutaogopa chochote...kumbuka kufa ni faida kuishi ni KristoSasa Ndugu Yangu Mshana Yani Unatuweka Uchi Baada Ya Kutoka Bongo Flava Kwenda Bongo Movie. Ngoja Wapate Taarifa Unatoa Siri Zao Wakulambe Kichwa Usionekane Humu Jf Hahahahah.
Lakn Kaka Ulipata Tabu Sana Kuacha Maana Kuondoka Na Kumkana Shetani Na Kazi Zake Na Kutoa Baadhi Ya Siri Zake Si Jambo Dogo.
Ok Tupe Darasa Lakn Hao Wanaopaa Ni Jipu Maana Wanakwepa Kodi Nyingi Sana Ukizingatia Hata Leseni Hawana Hahaha.
Wana radar zao
Ila Kaka Mshana Wew Ni Sawa Na Ile Mbegu Iloanguka Kwny Miiba, Ikaota Huku Ikisongwa Songwa Na Miiba. Unapenda Neno La Mungu, Unalisikiza Lakn Unakamatwa Na Anasa Ndogo Ndogo Ambazo Zinakufanya Usikuwe Kiroho.Ukiifahamu nguvu ya Kimungu hutaogopa chochote...kumbuka kufa ni faida kuishi ni Kristo
Itafakari vema zaburi ya 23...Bwana ndiyo mchungaji wangu....ni zaburi yenye ujumbe na nguvu ya ajabu mno ! lakini kwa waamini na waaminio
Hahhahahaaaa shetani alisema nisujudie nami nitakupa mamlaka yote juu ya uso wa dunia...hicho cheo unachokitaka kitaiangamiza huduma! Kama ukitaka tusimame na kufanikiwa katika roho na kweli tusitoze fedha yoyote...fedha na ngono ni vivutio namba Moja vya shetaniIla Kaka Mshana Wew Ni Sawa Na Ile Mbegu Iloanguka Kwny Miiba, Ikaota Huku Ikisongwa Songwa Na Miiba. Unapenda Neno La Mungu, Unalisikiza Lakn Unakamatwa Na Anasa Ndogo Ndogo Ambazo Zinakufanya Usikuwe Kiroho.
Kama Ungeanguka Kwny Udongo Mzuri Ukazaa Moja Mia Sitini Moja Thelathini, Ungefaa Sana Kuwa Mch Maana Unajua Sana Mbinu Za Anayetukwamisha Tusiione PepoMshana Njo Nikuombee Ndugu Yangu Halafu Tufungue Kanisa Mimi Nitakuwa Mweka Hazina.
Hahhahahaaaa shetani alisema nisujudie nami nitakupa mamlaka yote juu ya uso wa dunia...hicho cheo unachokitaka kitaiangamiza huduma! Kama ukitaka tusimame na kufanikiwa katika roho na kweli tusitoze fedha yoyote...fedha na ngono ni vivutio namba Moja vya shetani
Wana post zao nyingi tena tena za mwaka jana mwanzoni sikuwabakisha popote...nataka nipate utajiri kwa njia nyingine lakini sio hii nina hofu na Mungu wanguSasa Kama Hutaki Pesa Basi Hufai Wewe, Wenzako Kina ****** Wanatoa Upako Huko Ulipopakumbia Kisha Wanafungua Makanisa Wanafanya Miujiza Wewe Ndugu Yangu Unang'ang'ana Na Collora Wakat Wenzako Wana V8
Mshana Fursa Hizo Kaka Sasa Wewe Unazikimbia Ndugu.
Next Time Ningependa Uje Na Somo Ni Jinsi Gani Upako Wa Manabii Fake Unavyopatikana, Sadaka Wanazotoa Na Pia Njia Gani Za Macho Ya Kawaida I Mean Yakibinadamu Yanaweza Kuona Hiyo Sanaa.
Napata Raha Sana Japo Unacheza Na Fursa Kikore.
Nitajitahidi Nizipitie Kaka Nijifunze Kitu, Ngoja Nikitulia.Wana post zao nyingi tena tena za mwaka jana mwanzoni sikuwabakisha popote...nataka nipate utajiri kwa njia nyingine lakini sio hii nina hofu na Mungu wangu
Nina ulinzi kamili wa damu ya Kristo, sina chembe ya hofu...nilifika kuzimu na Nimekaa dunia ya kiza kifo kwangu ni ushujaa na daraja la kufaulu kuingia ulimwengu mwingine...wanajua nikoje ndo maana hawathubutu kunidhuruNitajitahidi Nizipitie Kaka Nijifunze Kitu, Ngoja Nikitulia.
Big Up Kaka Lakn Kuna Watu Watakuwa Wanakuonea Aibu Sana Na Siku Ukifa Watafurahi Sana Maana Wanajua Kwmb Unajua Kila Chembe Ya Hatua Zao Kiasi Kwmb Wakikuona Roho Zinawauma Kana Kwmb Unawatangaza Kumbe Upo Kimyaaa Lakn Unajua Siri Zao.
Siri Za Kichawi Na Utajiri Wake Huwa Ni Fedheha Kubwa Sana Maana Wakat Yeye Anapata Heshima Kwa Watu Wewe Unajua Mambo Yote Mpaka Sadaka Anazotoa. Ni Vyema Ukakaa Mbali Na Watu Hao Maana Wakipata Nafasi Hata Nukta Kukuangamiza Hawajiulizi Ilimladia Tu Wasikuone Kaka.
Natumai Imekutananayo Haya Ndugu.
Mkuubigonzo kwanza mimi sio dogo pili Mimi sijifanyi kujua mambo ya uchawi nayajua kindakindaki na nime ya practice to the fullest.....wewe unaongelea hapo njombe pa kufika na fisi...mimi nimefika mpaka kuzimu , Nafahamu mpaka ushetani na zaidi ya hapo...
mshana jr.ww ni mchawiKupaa kwa ungo huo ni usafiri wa wengi kama daladala na ni usafiri wa kimaskini
Kupaa kwa fimbo huu ni advanced na usafiri binafsi sana sana unaweza kumpa lift mtu mmoja na hapa kuna majini yanahusika
Kusafiri kiroho hii ni level ya juu kabisa ambako kwenye uchawi huu huu hakuna time limit wala umbali yani ni kama dunia iko kiganjani mwako na ni kiasi cha kujisogeza tuu
Wana radar zao
Wachawi huabudu Mungu yupi?Si kila mchawi au mshirikina ana uwezo wa kupaa...uchawi na ushirikina una level zake kama ilivyo kwenye viwango vya elimu
Mchawi anayejipendekeza kupaa bila kupata maarifa kamili hujikuta akipiga mweleka mkubwa sana kutokana na uzito wake au vinginevyo
Na huko angani kuna tufani za kila aina Usijaribu kupitisha helicopter yako kwenye anga la Boeing hutafika safari yako
Lakini pia kwenye kupaa kuna mahesabu yake...kwamba utapaa upande gani na umbali gani na urefu gani.kwamba kama unaenda Lamu kwa mwendo wa kawaida pengine ni masaa matatu hivi lakini wewe unataka kwenda kwa sekunde tatu tuu inabidi ujigawe roho na mwili yani unacheza kamari na Mungu
Kwahiyo unautanguliza mwili kwanza kisha ndio roho hufuata...vikishafika vyote salama huungana tena na kuwa binadamu kamili na kuendelea na mambo yake