Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Dada zetu wa kihaya wapo classic, wasomi,sexy na watundu kitandani.
Wahaya tunatafuna mpaka Mama Mkwe akijilegeza. Achana na sisi kabisaSijapata ona watu/jamii wachafu kama wahaya na wanyambo (wote ni wa Kagera)....hawa jamaa wanato.mba shangazi zao, binamu, jamaa wa karibu bila hata haibu/uchuro. Ndiyo maana kipindi kile ukimwi unakuja kwa kasi hapa nchini, mkoa wa Kagera koo zilikufa sana, utakuta nyumba moja wamekufa watu 7 au zaidi maana wengine walikuwa wanarithi wake na waume wa ndugu zao bila kujuwa aliyekufa kafa na nini.
Tatizo ni wanawake kung'ang'ania wanadai jamaa ana kisukari sijui uboh hausimamiUsigonge mchepuko mmoja kwa mda mrefu. Wengi wanafumaniwaga baada ya kunogewa mpaka tabia za mke zinaanza kubadilika na mme wake akinotice ataanza kufuatilia... Ila mfano umegonga mara moja ukasepa, ukaja kugonga tena baada ya miezi mitatu, nani atakushitukia?
Ushamtangazia muhaya mwenzako biasharaGesti/Hotel za sinza usalama mdogo. Wahudumu wana njaa, hawachelewi kukuuza. Katika zoote Naikubali CHICHI HOTEL kinondoni biafra
Wahaya ndo zetu. Tunadumisha milaSio utani, niliwahi ambiwa nisije jaribu kuoa mwanamke wa kihaya sababu wahaya wenzake watamla na ukijua ukamaindi, mke atakushangaa unamaindi nini? [emoji32][emoji32][emoji32] oaneni wenyewe kwa wenyewe tu
Olewa basi tujue moja. Huna hela ya kumpa mhaya weweYani mhaya nimehapa hata malaika sioi...hawatulii hao wanawake
Hivi kwanini yale maeneo yetu yakujidai wanapaita KWA WAHAYA mkuu?Olewa basi tujue moja. Huna hela ya kumpa mhaya wewe
Kuna jamaa anakula mke wa mtu mwaka wa pili huu sasa, nadhani hizo arobain si zishapita?Fanya hayo yote lakini kumbuka za mwizi ni arobaini
jinga kubwa!Tatizo lenu hamjui mapenzi, hata katerero hamjui kazi kukimbilia kukojoa fastafasta halafu mnatoka nduki kwenda kuchati kwenye magroup yenu huko Wozapu, lazima tuendelee kuwagongea tu. Mwanamke anataka kufikishwa kileleni, anapaswa kubembelezwa kama kinda la ndege.
Wahaya tunatafuna mpaka Mama Mkwe akijilegeza. Achana na sisi kabisa
Hiyo si Adabu.Sisi wahaya tunajua kula na kipofu, tena ukute mwanamke ni wakwetu tunatafuna wala bwana shemeji hushtuki milele daima. "charity begins at home"