Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,005
- 7,115
Huu utamu uchunguNi vema ukasheherekea kutokuwa Sister Maria. Maana kana ungekuwa na ungefuata mashart sawasawa (ingawa wengine hushindwa) ungeupata wapi utamu waliokupa hao wasio waaminifu?!
Huu utamu uchunguNi vema ukasheherekea kutokuwa Sister Maria. Maana kana ungekuwa na ungefuata mashart sawasawa (ingawa wengine hushindwa) ungeupata wapi utamu waliokupa hao wasio waaminifu?!
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wa kampuni ya simu husika....
Ina maana kabla ya uchungu huo, hukupata kautamu kokote?!Huu utamu uchungu
Utamu dk 2 uchungu muda mrefuIna maana kabla ya uchungu huo, hukupata kautamu kokote?!
Sio utani, niliwahi ambiwa nisije jaribu kuoa mwanamke wa kihaya sababu wahaya wenzake watamla na ukijua ukamaindi, mke atakushangaa unamaindi nini? [emoji32][emoji32][emoji32] oaneni wenyewe kwa wenyewe tuSisi wahaya tunajua kula na kipofu, tena ukute mwanamke ni wakwetu tunatafuna wala bwana shemeji hushtuki milele daima. "charity begins at home"
ndo ukome kushobokea dada zetu wakati mambo huyajui na hela yenyewe ya kuunga unga.Sio utani, niliwahi ambiwa nisije jaribu kuoa mwanamke wa kihaya sababu wahaya wenzake watamla na ukijua ukamaindi, mke atakushangaa unamaindi nini? [emoji32][emoji32][emoji32] oaneni wenyewe kwa wenyewe tu
Watu mmeboboea ujambazi aisee... Sa na mbinu zote hizo una tofauti gani na jambazi? Huyo mwanamke atakaekubali kufanyiwa hivyo awe anakufahamu kweli. Na dunia hii kwa mwanamke alie security conscious hawezi mfuata stranger hivyoMimi huwa nikiona hii ni mali ya kuiba kwanza kabisa simuamini hata yule demu mwenyewe,
Nnachofanya Ntamwambia tukutane mahali fulani ambapo sipo nilipopanga kumpeleka( hii inasaidia kama kuna huko aliko amebanwa na simu imewekwa loudspeaker au msg zimefumwa)
Sasa akishafika huwa namchukua simu yangu nazima, na yake namuomba aizime au aiweke silent then simu zote nakaa nazo mimi( ili kuepusha kama amebanwa na ameambiwa atoe mawasiliano ya sehemu alipo, Ni kosa kubwa sana kuwa na demu kisha umuache abonyeze bonyeze simu),
Kitakachofuata ni kumchukua na usafiri private kama ni mbali, ila kama ninapotaka kumpeleka ni karibu basi namkatisha chocho huku nikihakikisha hakuna mtu anayeweza kutuona au kutufuatilia,
ITAENDELEA
Kama hataki bora ale kona, kiusalama zaidiWatu mmeboboea ujambazi aisee... Sa na mbinu zote hizo una tofauti gani na jambazi? Huyo mwanamke atakaekubali kufanyiwa hivyo awe anakufahamu kweli. Na dunia hii kwa mwanamke alie security conscious hawezi mfuata stranger hivyo