Dondoo mbalimbali kuhusu chafya

Dondoo mbalimbali kuhusu chafya

Kiafya ni chafya tunashauriwa kupiga chafya ngapi kwa juma ?
Mkuu we ukiweza kupiga chafya kwa wingi piga tu.

Kiafya inasaidia kuondosha bacteria,virus na vumbi ndani ya pua.

Kwaiyo mkuu dondosha chafya walau kwa wiki mara mbili.
 
Mkuu we ukiweza kupiga chafya kwa wingi piga tu.

Kiafya inasaidia kuondosha bacteria,virus na vumbi ndani ya pua.

Kwaiyo mkuu dondosha chafya walau kwa wiki mara mbili.

Mara mbili?? Mbona watu karibu kila siku tunapiga chafya?? Ukipishana na gari la taka, vikwapa daladalani, masokoni na uchafu, hapa Dar mazingira ya kumfanya mtu kupiga chafya ni mengi sana!!
 
Mara mbili?? Mbona watu karibu kila siku tunapiga chafya?? Ukipishana na gari la taka, vikwapa daladalani, masokoni na uchafu, hapa Dar mazingira ya kumfanya mtu kupiga chafya ni mengi sana!!
Kwa mazingira ya vumbi kama Dar mkuu we piga chafya kwa wingi tu wala usiogope.

Maana mji wetu huu huwezi utenga na vumbi.
 
Mkuu we ukiweza kupiga chafya kwa wingi piga tu.

Kiafya inasaidia kuondosha bacteria,virus na vumbi ndani ya pua.

Kwaiyo mkuu dondosha chafya walau kwa wiki mara mbili.
Asante kwa muongozo.Mimi na shemeji yako tutakuwa tukidondosha chafya za kutosha ili kuondosha vidudu vya malaria sugu.
 
No mtu akiwa amelala hawezi kupiga chafya kwa sababu motor neurone kutokuwa stimulated na hivyo reflex signal kutopelekwa kwenye ubongo.

Ingawa kiasi kikubwa cha external irritants kama vile ugoro unaweza mfanya mtu aliyelala kupiga chafya itakayopelekea kuamka na si kuendelea kulala.

Ustaarabu wa kupenga mafua unajifuta lesson unaweka mfukoni. Very disgusting.
Siwezi kupenga kamasi bila maji
 
Shida yake nini mkuu. Kwamba unaweza ukafa?
Zikizidi haziwezi kukuacha salama,kuna njia unaweza kuzizuia zisiwe nyingi,unatumia kubana ulimi wako kwa nyuma,juu upande wa koo,ni ngumu kidogo ila inasaidia sana unaweza usipige chafya kabisa kama ilikuwa inakuja ikapotea au ukapiga moja au mbili...
 
Back
Top Bottom