Dondoo mbalimbali kuhusu chafya

Dondoo mbalimbali kuhusu chafya

ss hiyo chafya ya siku 978 ndo ilipigwaje mkuu?!
Mkuu kumbe ulikuwa unanikosoa bila ya kujua.

That's not good.

Basi fanya kum google huyo mama utapata habari zake zote.
 
Kuna kitu cha ajabu sana kwenye chafya nakiona.... Na kimenipata mara kadhaa.... Jirani yangu hata kama amekaa mita 5 akipiga chafya,... Haupiti muda na mm napiga, nadhani hizi chafya ni tukio la kuambukizana, huwa naavoid sana mtu akipiga chafya najikaza zaidi ya dakika 3 sipumui ili kuruhusu circulation ya hewa around
 
Kwani tendo la chafya lina last kwa sekunde ngapi?.
hili swali unatakiwa ujibu we mwenyewe,ebu soma post yako no 10 umesemea chafya ni kitendo kinachochukua sekunde chache kutokea,ebu tueleze izo sekunde chache ni ngapi? Je, huyo mama aliyepiga chafya kwa sikuzaidi ya 900 ilikuaje?
 
hili swali unatakiwa ujibu we mwenyewe,ebu soma post yako no 10 umesemea chafya ni kitendo kinachochukua sekunde chache kutokea,ebu tueleze izo sekunde chache ni ngapi?je huyo mama aliyepiga chafya kwa sikuzaidi ya 900 ilikuaje?
Mkuu kwa huyo mama tutafika ikiwa unataka.

Kwanza tumalize la kunifahamisha kuhusu efferent neurone na ANS.
 
Kuna kitu cha ajabu sana kwenye chafya nakiona.... Na kimenipata mara kadhaa.... Jirani yangu hata kama amekaa mita 5 akipiga chafya,... Haupiti muda na mm napiga, nadhani hizi chafya ni tukio la kuambukizana, huwa naavoid sana mtu akipiga chafya najikaza zaidi ya dakika 3 sipumui ili kuruhusu circulation ya hewa around
Kumbuka mtu anapopiga chafya anatoa kwa nje majimaji yenye mchanganyiko wa vumbi na baadhi ya vijidudu vya magonjwa kama vile bacteria.

Hivyo mtu anapopiga chafya bila ya kujifunika pua yake kuna uwezekano mkubwa wa kukupasia vijidudu hivyo.

The best way ni kujikinga kwa kitambaa ili usisambaze au kusambaziwa.
 
Mkuu kwa huyo mama tutafika ikiwa unataka.

Kwanza tumalize la kunifahamisha kuhusu efferent neurone na ANS.
ayo ndio maswali niliyokuuliza,mbona unayarudisha kwangu tena?alafu mbona unakwepa maswali sana,nimekuuliza pia hizo sekunde chache ulizosema kwenye post yako no 10 ni ngapi?
 
Me nasubiri jibu la chafya ya siku 978, kwamba ilikuwa mojaa yaan chchaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Au nyingiii? Aliishijr sasa kupumua, kunywa maji, kula na kuongea??
 
Me nasubiri jibu la chafya ya siku 978, kwamba ilikuwa mojaa yaan chchaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Au nyingiii? Aliishijr sasa kupumua, kunywa maji, kula na kuongea??
uyu mleta mada anakwepa sana maswali
 
iyo namba 5 siyo kweli.

Mkuu niko nafanya usafi wa ghetto hapa, kuna vumbi jepesi na napiga sana chafya, jamaa yuko sahihi, chafya ya ukweli lazima ufumbe macho, usipofumba ujue ni chafya ya kichina hiyo! Nimejaribu kufumbua macho chafya kama nne hivi, haiwezekani!!
 
uyu mleta mada anakwepa sana maswali
Hapana ndugu yangu wala sikwepi maswali.

Post yako ya kwanza kwangu ilihusu kuniambia nisiongelee nsivyovijua.

Ukaniuliza kuhusu efferent neurone na ANS kwamba nazijua kazi zake nami kwa uungwana tu nkakujibu sijui naomba unifahamishe cha ajabu mpaka sasa sijafunzwa.

Cha ajabu unaniuliza maswali ambayo kimsingi mimi ndiye nliyeanza kukuuliza.

Kuhusu chafya ya huyo mama google is your friend.

Habari zake zote utazikuta,zisome kisha rudi tujadiliane kwa amani tu ndugu.
 
Me nasubiri jibu la chafya ya siku 978, kwamba ilikuwa mojaa yaan chchaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Au nyingiii? Aliishijr sasa kupumua, kunywa maji, kula na kuongea??
Mkuu google jina la huyo mama habari zake zipo tu utajifunza mengi.
 
Hapana ndugu yangu wala sikwepi maswali.

Post yako ya kwanza kwangu ilihusu kuniambia nisiongelee nsivyovijua..
iyo kukuambia usiongelee usivyovijua ni namna tu ya kuchangamsha mjadala,ebu fatilia post zote uangalie nani alianza kuuliza ayo maswali
 
Mkuu niko nafanya usafi wa ghetto hapa, kuna vumbi jepesi na napiga sana chafya, jamaa yuko sahihi, chafya ya ukweli lazima ufumbe macho, usipofumba ujue ni chafya ya kichina hiyo! Nimejaribu kufumbua macho chafya kama nne hivi, haiwezekani!!
ndicho nilchoelezea kwenye moja ya post apo juu,kuna chafya kali na chafya zisizo kali,kwa chafya Kali lazima utajikuta umefumba macho.
Kwa chafya zisizo Kali sio lazima ufumbaji wa macho utokee
 
Kiafya tunashauriwa kupiga chafya ngapi kwa juma ?
 
iyo kukuambia usiongelee usivyovijua ni namna tu ya kuchangamsha mjadala,ebu fatilia post zote uangalie nani alianza kuuliza ayo maswali
Pouwa mkuu nmekusoma na kukuelewa.
 
Back
Top Bottom