Dondoo: kazini kwetu leo.

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Habari wandugu, je wewe siku yako ilikuwaje ofisini kwenu, majambo na vibweka kazini ,mikwara ya bosi, nani amekuharibia 'mood', tuambiane wandugu ,tubadilishane mawazo na kupeana uzoefu..mimi leo manager kanipiga mkwara ,kisa 'feedback'..wewe ilikuwaje kwako..
 
Nasisi wababa wa nyumbani je?!, tuchangie ama tusichangie?!
 
Nani sijui alianzisha mambo ya monthly report hapa duniani, leo nimetoka kazini usiku huu na kesho sijui nitatoka saa ngapi?maana tarehe tano kabla ya saa nne asubuhi ndio deadline, basi leo kutwa nzima kila mara bosi anaingia ofisini kwangu kuulizia vipi utamaliza leo?maana yeye ndio yuko responsible kuziwasilisha HQ lakini mzigo wote kwangu, balaa.
 
hiyo kali mkuu..wengine kesho weekly plan ya next week, yaani kila ijumaa
 
2naosoma driving at modern Drivn School, kesho test ya kudrive katikati ya mji? duuh, shughuli ipo,.....
 
Mi dreva wa daradara,leo ilikua ful kutania k/koo buguruni,sema pale karume kunatrafic kazngua kshnz,kanchelewsha adi hesabu ya bos haijatimia..ila dah ngja nlale manake mikono na kiuno vinauma sana.
 
Unakosea wewe, iprint tena kama ilivyo ukamwekee mezani kwake wakati hayupo halafu mtumia ka fifty 50,000/= kwenye m-pesa, utaona mwenyewe maajabu.

Da umejuaje? si supp bali proposal yangu imesambaratishwa na supervisor kisa hajanambia nimeikuta kwa secretary tu jamani nanyi ndo mlivyosoma ivo?
 
Mi dreva wa daradara,leo ilikua ful kutania k/koo buguruni,sema pale karume kunatrafic kazngua kshnz,kanchelewsha adi hesabu ya bos haijatimia..ila dah ngja nlale manake mikono na kiuno vinauma sana.

we ni dereva wa daladala ? Jf kweli kiboko wadau wa kada zote. V.good
 
Unakosea wewe, iprint tena kama ilivyo ukamwekee mezani kwake wakati hayupo halafu mtumia ka fifty 50,000/= kwenye m-pesa, utaona mwenyewe maajabu.

y? Badilisha font size , usikubali kununua elimu
 
Me leo ilikuwa ufunguzi wa tenda,yani balaa nilisahau kuambatanisha financial information ila itakua siri yangu
 
da bodi ya mikopo wameendelea kuzingua boom letu hapa mkwawa, afu mi ful ukata.
 
Me leo ilikuwa ufunguzi wa tenda,yani balaa nilisahau kuambatanisha financial information ila itakua siri yangu

very sensitive part umesahau mkuu, waki cross check fast utaumbuka, loh andaa fix mapema
 
Back
Top Bottom