Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 911
- 1,860
Umeeleza kwa uzuri sana.Neno "donda ndugu" (au dondandugu) linamaanisha kidonda sugu, kikubwa, na kisichopona kwa muda mrefu.
Neno hili limeundwa kwa kuunganisha maneno mawili: "Donda" (jeraha kubwa) na "Ndugu" (ikimaanisha kuwa kidonda hicho kimegandana au kimeambatana na mwili wako kama ndugu wa damu asiyetaka kuondoka)
Vipo na kuna watu wanavyo hususani miguuniLeo hii sina uhakika kama hivi vidonda bado vipo.
Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈNeno "donda ndugu" (au dondandugu) linamaanisha kidonda sugu, kikubwa, na kisichopona kwa muda mrefu.
Neno hili limeundwa kwa kuunganisha maneno mawili: "Donda" (jeraha kubwa) na "Ndugu" (ikimaanisha kuwa kidonda hicho kimegandana au kimeambatana na mwili wako kama ndugu wa damu asiyetaka kuondoka)
Yaani we dogo dahπ€£π€£π€£Mimi eti nimewaza mbususu Dah! πππ
Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Bado vipo huko vijijiniUmeeleza kwa uzuri sana.
Donda ndugu ni kidonda kisichopona kwa wakati muafaka. Na hivi vidonda vilikuwa maarufu sana miaka ya nyuma huko kutokana na uduni wa huduma za afya maeneo ya vijijini.
Leo hii sina uhakika kama hivi vidonda bado vipo.
Bado vipo na vinatema harufu balaaUmeeleza kwa uzuri sana.
Donda ndugu ni kidonda kisichopona kwa wakati muafaka. Na hivi vidonda vilikuwa maarufu sana miaka ya nyuma huko kutokana na uduni wa huduma za afya maeneo ya vijijini.
Leo hii sina uhakika kama hivi vidonda bado vipo.
Kisukali, bacteria na huduma mbovu za kufunga vidonda baada ya majeraha.Vipo na kuna watu wanavyo hususani miguuni
Hivi vya kisukari ni kesi nyingine. Na huwa vinatibika.Kisukali, bacteria na huduma mbovu za kufunga vidonda baada ya majeraha.
Duh!Umetumia akili nyingi mnoo kuwaza.Ni kitu kidogo tu.Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Basi zinahitajika juhudi za msingi za kudhibiti.Bado vipo huko vijijini
Mafungu yanashindwa aidha kufika mahali husika au kuna uhamishaji wa mafungu ya fedha/reallocations kila Leo kama hizi za kuwalipa askari wanaoandamana bila kupewa sapoti na kuhudumia jua la el-nino.Basi zinahitajika juhudi za msingi za kudhibiti.
Kwani donda ndugu halitibiki likipata huduma stahiki. Maana vidonda vya kisukali navyo havitaki wapiga ramli.Hivi vya kisukari ni kesi nyingine. Na huwa vinatibika.
Kwani sifa ya Donda ndugu ni kutokutibika?Hivi vya kisukari ni kesi nyingine. Na huwa vinatibika.