Donald Trump wins Iowa, anakuja!

Unaongea unachokitaka badala ya uhalisia. Nenda kaangalie kura za maoni za wagombea wa urais kutoka vyama vyote ukaone jinsi Trump anamburuza huyo Biden wako. Tena kwa muda mrefu tu
Take my word, utajanambia, Biden bado hajasimama kunadi sera zake Trump ananuka kashfa
 
The next President again in USA. Mambo ushoga ya kina Biden , yataondoka. Financial markets, itakuwa stable
Never,Trump ataleta vita,watu hawataamini. Ni mshari kuliko Biden,and by the way,in America Democratic or Republican,all are the same bird with different wings.
 
kiboko ya Iran huyu
Kwani aliwafanya nini huyo mpuuzi. Mbona walishawahi kushambulia Kambi za majeshi ya Marekani huko Iraq na na huyohuyo Trump aliishia kubweka tu na hajawahi kulipa kisasi mpaka anatoma madarakani. Kidduku amemvimbia sana alikuwa anaishia kuongea tu mbona hakuwahi kumvamia
 
Back
Top Bottom