Hakuna system iliyombebea Biden, alishinda Urais.Sera za Biden Huwa hazieleweki ni vile system inambeba lkn hakufaa Kwa nafasi yake na umri umemtupa pia.
A true definition of Americans!Ila huyu jamaa ni bonge la mbishi. Utake ustake mimi nakuja tu...
Huyu anapoteza muda tu hawezi kushinda ni vile republican wangesimamisha mgombea mwengine tofauti na Trump Biden amejijenga vizur sanaDonald Trump ameshinda big sehemu ya kwanza ya mbio za kugombea uraisi kwa tiketi ya chama cha republican huko Iowa, ameichukuwa 51% akifwatiwa na Desantis 21% na nimarata nikki 19%.
God Bless Donald Trump!
View attachment 2873202
Watu wa hii ya ubishi Huwa wanakua washindi siku zote hata kimaisha ni lazima wafanikiwe, Kwa sababu ni watu wanaoamin katika Usahihi wao, Uwezo, Uthubutu mkubwa.Ila huyu jamaa ni bonge la mbishi. Utake ustake mimi nakuja tu...
Twitter walimpiga ban, akaanzisha mtandao wakeSema Donald Trump kuna namna anaichangamsha dunia Twitter lazima pawe hot wachambuzi sijui BBC kote kunajaaa content
Unaongea unachokitaka badala ya uhalisia. Nenda kaangalie kura za maoni za wagombea wa urais kutoka vyama vyote ukaone jinsi Trump anamburuza huyo Biden wako. Tena kwa muda mrefu tuHuyu anapoteza muda tu hawezi kushinda ni vile republican wangesimamisha mgombea mwengine tofauti na Trump Biden amejijenga vizur sana
RIP Shujaa MagufuliBinafsi Nina support President Trump arudi kuwa US president, na ninapenda style yake ya uongozi, ni mtu anayeiweka US first, na always anakwenda na solutions SIO KULALAMA, na anaongea as its,Tanzania tumepoteza muda mwingi kupigania wenzetu wakati kwetu kunaoza, mifano ni mingi tu kuanzia ushelisheli hadi Namibia 🇳🇦, ukienda huko wameshasahau mchango wetu, na tuelewe new generation wa nchi hizo hawajui kuhusu mchango wetu, ninahitaji kiongozi atakaye iweka Tanzania first
Wamarekani sio Wajinga km hapo kwenu haiwezi kuwa na raisi anayesahau nyumbani pake anapoishi kirahisi hivyoHakuna system iliyombebea Biden, alishinda Urais.
Nani huyo anasahau nyumbani pake anapoishi??Wamarekani sio Wajinga km hapo kwenu haiwezi kuwa na raisi anayesahau nyumbani pake anapoishi kirahisi hivyo
Hujui km Biden huwa anapotea njia za WhitehouseNani huyo anasahau nyumbani pake anapoishi??
Huo ni muendelezo wa mwanzo wa mwisho wa Demokrasia tunavyoijua.
Eniweyei,
Hebu fikiria hapo, Tundu Lissu ndio awe mgombea wa CHADEMA
Yeye na Trump wanshare mambo kibao tu. Nani atakubali Trump aje kuwa Raisi wa Nchi yeyote ile Afrika? Lissu Je? Kwanini?
Kwa maoni yangu wote hawafai kwa siasa za Leo.
Sera zake zinainufaisha Israeli au magaidi wa kiislamu wa Hamas?Donald Trump ameshinda big sehemu ya kwanza ya mbio za kugombea uraisi kwa tiketi ya chama cha republican huko Iowa, ameichukuwa 51% akifwatiwa na Desantis 21% na nimarata nikki 19%.
God Bless Donald Trump!
View attachment 2873202
Huyu anapoteza muda tu hawezi kushinda ni vile republican wangesimamisha mgombea mwengine tofauti na Trump Biden amejijenga vizur sana
Biden hata Democratic tu hawamtaki,Huyu anapoteza muda tu hawezi kushinda ni vile republican wangesimamisha mgombea mwengine tofauti na Trump Biden amejijenga vizur sana
Huyu gangwe huwa namuelewa sana.Maamuzi yaendayo kwa wakati na kujiamini vimelala hapo.Donald Trump ameshinda big sehemu ya kwanza ya mbio za kugombea uraisi kwa tiketi ya chama cha republican huko Iowa, ameichukuwa 51% akifwatiwa na Desantis 21% na nimarata nikki 19%.
God Bless Donald Trump!
View attachment 2873202
Nani anaongoza kwenye kura za maoni huko Democrats?Biden hata Democratic tu hawamtaki,