Donald Trump wins Iowa, anakuja!

Donald Trump wins Iowa, anakuja!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,909
Reaction score
18,910
Donald Trump ameshinda big sehemu ya kwanza ya mbio za kugombea uraisi kwa tiketi ya chama cha republican huko Iowa, ameichukuwa 51% akifwatiwa na Desantis 21% na nimarata nikki 19%.

God Bless Donald Trump!

1705381678725.jpeg
 
Binafsi Nina support President Trump arudi kuwa US president, na ninapenda style yake ya uongozi, ni mtu anayeiweka US first, na always anakwenda na solutions SIO KULALAMA, na anaongea as its,Tanzania tumepoteza muda mwingi kupigania wenzetu wakati kwetu kunaoza, mifano ni mingi tu kuanzia ushelisheli hadi Namibia 🇳🇦, ukienda huko wameshasahau mchango wetu, na tuelewe new generation wa nchi hizo hawajui kuhusu mchango wetu, ninahitaji kiongozi atakaye iweka Tanzania first
 
Yeye na Trump wanshare mambo kibao tu. Nani atakubali Trump aje kuwa Raisi wa Nchi yeyote ile Afrika? Lissu Je? Kwanini?

Kwa maoni yangu wote hawafai kwa siasa za Leo.
hawafanani pakubwa ili uropokaji🐒

majukwaani moja anategemea hoja mwingine anategemea huruma za wananchi na fadhila za mabwenyenye 🐒
 
Yeye na Trump wanshare mambo kibao tu. Nani atakubali Trump aje kuwa Raisi wa Nchi yeyote ile Afrika? Lissu Je? Kwanini?

Kwa maoni yangu wote hawafai kwa siasa za Leo.

tundu lisu ni level ya biden au kamala harris, D.Trump ni conservative christian wakati tundu lisu hana dini you see Dunia mbili tofauti …
 
tundu lisu ni level ya biden au kamala harris, D.Trump ni conservative christian wakati tundu lisu hana dini you see Dunia mbili tofauti …
They are divisive, and reckless. Polarizing at best. Trump na Lissu wote ni wachochezi na mi Uharakati yao.
 
They are divisive, and reckless. Polarizing at best. Trump na Lissu wote ni wachochezi na mi Uharakati yao.

basi labda hauelewi kinachoendelea, tundu lisu na raisi samia wanaelewana sana tu na vizuri siajabu klk hata zito kabwe labda kama unamaanisha tundu lisu ni divisive ndani ya chadema hapo inawezekana uko sawa yeye (tundu lisu) ndiye anayeigawa chadema lkn tundu lisu siyo tishio kwa ccm na wala hajawahi kuwa kama vile tu unavyomuona zito kabwe …
 
Binafsi Nina support President Trump arudi kuwa US president, na ninapenda style yake ya uongozi, ni mtu anayeiweka US first, na always anakwenda na solutions SIO KULALAMA, na anaongea as its,Tanzania tumepoteza muda mwingi kupigania wenzetu wakati kwetu kunaoza, mifano ni mingi tu kuanzia ushelisheli hadi Namibia [emoji1176], ukienda huko wameshasahau mchango wetu, na tuelewe new generation wa nchi hizo hawajui kuhusu mchango wetu, ninahitaji kiongozi atakaye iweka Tanzania first
Kama jpm vile.
 
basi labda hauelewi kinachoendelea, tundu lisu na raisi samia wanaelewana sana tu na vizuri siajabu klk hata zito kabwe labda kama unamaanisha tundu lisu ni divisive ndani ya chadema hapo inawezekana uko sawa yeye (tundu lisu) ndiye anayeigawa chadema lkn tundu lisu siyo tishio kwa ccm na wala hajawahi kuwa kama vile tu unavyomuona zito kabwe …
Kwani wewe umeelewa nini?

Nieleweshe tu nipo tayari.

Hata hivyo nilikuwa nagusia-Wanavyofanana na kutofautiana katika Siasa, Uongozi(leadership style) na Uharakati wao.

Na upo sahihi, Lissu sio tishio kwa CCM, bali Nchi nzima.

Kuna ka udikteta fulani ndani ya Trump na Lissu ambao ushasemwa sana tu mitandaoni na hapa JF
 
Back
Top Bottom