Donald Trump aongoza Swing state, Florida!

Donald Trump aongoza Swing state, Florida!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kwa wasiofahamu Swing states au kwa jina lingine battle ground states ni yale Majimbo ambayo hakuna Chama chenye uhakika wa kushinda, sasa Jimbo la Florida ni moja kati ya hizo swing states na hizi states ndiyo mara nyingi huamua mshindi na mpaka dakika hii D.Trump anaongoza kama uchaguzi ungefanyika leo hii kulingana na Bloomberg polls, kama chati inavyoonyesha hapo chini!

488x-1.png

Trump Has 2-Point Edge in Bloomberg Politics Poll of Florida
 
safi sana.

huyu atawafurusha Waswahili wote waliopo kule (Mwanakijiji, Nyani Ngabu, etal) warudi huku kwa Bi Nyau tunywe nao kahawa na kucheza draft!
 
Trump safi sana, Clinton kasema Wakati umefika kwa nchi ya Syria kupigiwa marufuku ya kuruka ndege angani Trump kamkosoa vikali sana kasema Clinton hata sababisha vita vya 3 vya dunia. Trump kasema tatizo siyo Syria, tatizo ni Islamic state. Hoja ya Trump imeungwa mkono na wamerican wengi sana.
 
Wakina Nguruvi ndio wanaojua kuchambua siasa za marekani
 
Wakina Nguruvi ndio wanaojua kuchambua siasa za marekani
Hao mashabiki wa Clinton tena wazi wazi me nmekua mfatiliaji mzuri sana wa uzi wao kule great thinker ila Wana ushabiki kidogo mfano Kuna watu wakaja na hoja za kumtetea trump watakupinga sana tofauti na kwa Hillary Clinton
 
safi sana.

huyu atawafurusha Waswahili wote waliopo kule (Mwanakijiji, Nyani Ngabu, etal) warudi huku kwa Bi Nyau tunywe nao kahawa na kucheza draft!
Mkuu hizi ndio akili zako ama unazo nyingine?

Kama ndo zenyewe basi tuna safari ndefu sana.
 
Natamani trump aingie white house ila sijui kama atafanikiwa na haya makashfa ya ngono ya kila siku.
 
Huyo jamaa mambo yazidi kumnyokea.

Ni kweli mkuu, naona Hillary kibao kinaweza kumgehukia - kashfa zinazotolewa na WikiLeaks zimeanza kupunguza imani kwa wapiga kura, hasa wanao muhunga mkono Sanders baada ya kugundua through WikiLeaks kwamba alichezewa rough wakati wa kuhesabu kura za mteule wa Chama i.e kura zilikuwa rigged in favour ya Hillary, si hilo tu hata lugha ambayo Podessa alikuwa anaitumia kumsema Sander ilikuwa na ukakasi sana - binafsi nategemea supporters wa Sanders watahakisha Hillary anapata wakati mgumu.
 
safi sana.

huyu atawafurusha Waswahili wote waliopo kule (Mwanakijiji, Nyani Ngabu, etal) warudi huku kwa Bi Nyau tunywe nao kahawa na kucheza draft!

Rais wa Marekani hana madaraka/mamlaka kivile kuweza kufanya hayo unayoyaota!
 
Kwa kweli nachelewa kumkubali huyu mtu anayeitwa trump.....eti anasema inabifi Africans tutawaliwe kikoloni tena kama zamanii?? Hapana kwa kwelii
 
Trump safi sana, Clinton kasema Wakati umefika kwa nchi ya Syria kupigiwa marufuku ya kuruka ndege angani Trump kamkosoa vikali sana kasema Clinton hata sababisha vita vya 3 vya dunia. Trump kasema tatizo siyo Syria, tatizo ni Islamic state. Hoja ya Trump imeungwa mkono na wamerican wengi sana.

Mkuu pamoja na mapungufu ya Trump ya hapa na pale - Trump ndiye Kiongozi pekee nchini Merikani mwenye uwezo wa kuona mbali na kunusuru Dunia dhidi ya vichaa wanao taka kuanzisha WW3.

Bila ya kusahau kwamba yeye ndiye ana represent raia wa kawaida nchini mwake na amepania kuondoa tawala za Establishment zilizo kaa madarakani nchini mwake miaka nenda rudi (hivi sasa wanataka uwe kama utawala wa Kifalme vile! mara Baba mara Mwana kesho Mume keshokutwa mkewe) group hilo likishirikiana kwa karibu na MSM na ma Neocon ndiyo wako mstari wa mbele kumshabulia sana Trump wankati mwingine kumzulia mambo ya kutunga tu - awataki kabisa ashinde kinyanganyiro cha Urais - wanajua akishinda tu, mirija yao na special favors nyingine zitaota mabawa.
 
Nimesoma makala kadhaa kuhusu Siasa za Marekani (US), ushoga, dini, vita baridi (US vs Russia), International funding organs n.k. nimefikia makubaliano na wanaoamini Donald Trump anaweza kuwa kiongozi bora kuliko Hillary Clinton. Muda ni mfupi uliobaki kuhamasisha wamarekani wamchague Trump lakini ukweli utabaki kama atapata ama atakosa urais. Kwa machache: huyu jamaa hategemei kuchangiwa pesa ili awe rais (funding organs duniani kote zinamchukia kwavile itakuwa rahisi kwake kuwatoroka kama Magufuli), ana misimamo inayotoka moyoni akiamini wahamiaji haramu marekani na hasa wenye misimamo mikali ya kidini wanaingiza marekani katika sintofahamu....hayo hayawezi kusemwa na Obama wala Clinton. Islamic State ni tatizo kuliko rais wa Syria anayetetewa na Putin....ndiyo maana Trump anamuunga mkono Putin. Mtu mkweli mara nyingi hutoa matamshi bila kuyamumunya....sometimes yanawaudhi wengine. Walioapa kulinda maslahi yao hawapendi awe rais na hata akiwa rais hawatapenda amalize muhula wake....haya yanajionyesha kwa Magufuli, kila siku anashambuliwa. Vyombo vya habari vinamuunga mkono Clinton na hiyo inamfanya aonekane bora wakati ukweli hataweza kuwa rais bora kwa marekani na hata ustawi wa dunia. Uamuzi ni wa wamarekani,,,,....kama tulivyoamua Tanzania kumpa Magufuli nao pia wanaweza kumpa Trump japo madhara yatakuwapo.
 
Back
Top Bottom